Visa vya matapeli na watoto wa mjini

UTAPELI WA CLUB

ilikuwa tabia yangu na marafiki zangu kutapeli wanaume pale club 7 ya kibo complex
Mwanamme anakufata unacheza anakununulia bia unakunywaa weee anazani baadae mtaondoka wotee
Basi unamtambulisha na rafiki yako mnakunywa bia za bureee mkishalewa mmepombeka vya kutosha mnabonyezana mm namwambia rafiki yangu ngoja nikakojoe huko huko natorokea napanda lift huyo naenda kujipanza kule kwenye parking ambayo ni chombingo letu la kukutana

Na rafiki yangu anasema oooh ngoja nikamtafute G mbna harudi hebu tusubirie hapo kwenye meza tumeacha savvana zipo nusu mwanamme anajua bado tupo tupo.

Baada ya muda mwanamme anakuja kushtuka ameshatorokwa mudaa na sisi hao home.

Club tunanunua savvana moja tu zingine tunatapeli na kutoroka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] Ila kuna wakati wanawake wanatia hasira unatamani umfanyie kitu kibaya... Kuna binti mmoja, tumemaliza yetu, akadai nimsindikize... Mara kasahau kibanio cha nywele ndani nimpe funguo arudie.... Kesho yake asubuhi nagundua Perfume haipo... Perfume yenyewe Paco Rabbane..halaf kipindi hicho niko hovyo financially,, Hasira zilikua tani 5..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaah we ni kiboko yao aisee lakini siku zako zinahesabika. Kuna siku utajilaumu kwanini ulianza tabia ya kutapeli. Alfu huyo boss wako mshamba anaonekana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Elimu yako form four ya division 4
2. Ulisoma certificate flani
3. Unaishi kwa wazazi
4. Huna kazi
5. Wewe si tapeli ni mdangaji.na huwa kweli unaomba pesa ili ujikimu coz you rent working.

Pia kuwa tapeli inabidi uwe na akili. You are not. Why keep in lying to yourself?😂😂😂

 
😁😁😁

 
Hi hi hi hi......😂😂😂 Hii kali sana ....

 
Ili uwe tapeli mzuri inabidi uwe na
1. Akili
2. Exposure
3. Uzuri (kama ni mwanamke)
4. Kauwezo kidogo au mtaji
5. Ufahamu mzuri wa lugha hasa english


Hapa unaweza kuwa tapeli wa maana.siyo kutoroka na tsh 50,000 au 100,000 huu sisi huwa tunaita ni upigaji mjusi.

Ukiwa na sifa kadhaa kati ya nilizotaja utapeli utakulipa na uta move from hatua moja to nyingine na si kuja kutafuta madanga humu au kusumbua watu. Mimi nmewahi tapeli mil 29 sababu ya akili kwa kampuni moja ya simu ambayo hawakutaka iwe kashfa sababu wangepoteza wateja.

Katika hizo mil 29 nliwarudishia mil 4 na wakashukuru huku wakinipa pole kwa kupata ajali ambayo gari nlitengeneza kwa mil 1.7 nikawa na faida ya mil 23. Haikuwa pesa nyingi sana lakini nlipenda jinsi nlivyocheza huo mchezo na nlifanya kitu. Hiyo pesa nlinunua viwanja sehemu kadhaa dar.

So msiharibu sifa ya utapeli kabisa hii ni taaluma kama taaluma nyingine na inahitaji sana akili.achaneni na ule ujinga wa zile pesa nitumie kwenye namba hii... Au sijui kukimbia na pesa za wanaume ndogo ndogo... Huo ni udangaji. Ndo maana nikasema unatakiwa uwe na akili.

Unaweza ukawa uliishia form four lakini una akili ya ziada.una exposure n.k hilo ni sawa lakini kinyume na hapo unakuwa mdangaji tu kwa mwanamke na kibaka kwa mwanaume.

Ukiwa na akili unaweza piga
1. Nyoka
2. Mamba
3. Chatu

Wale wadangaji wanaoibia wanaume vijicent huwa wanapiga mijusi au kenge... Kuna mianaume mikenge inapigwa haisikii mpaka itoe damu masikioni.
 
Unahangaika sana na maisha yangu wanaonijua wanakucheka tu mbwa koko wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahaha pole
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetisha mdada
 
Mkuu hebu ielezee hyo ya mil 29 naona kama vile iko vzr [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

komando kinjekitile ngwale
 
Al watan Mshana Jr [emoji13] [emoji39] [emoji39] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
natamani kuelezea ila sasa humu ndani hatufahamian wanaweza wakawepo wabaya wangu wakanichunguza upya...??????

huwa nataman sana nisimulie issue ilivyokuwa but....

ngoja niangalie nifanyeje maanaa inabidi niwasiliane na mshkaji mwanansheria kwanza anipe angalizo.

Mkuu hebu ielezee hyo ya mil 29 naona kama vile iko vzr [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

komando kinjekitile ngwale
 
Kuna jamaa yangu kipindi hicho ndiyo kaja Dar, bado mgeni mgeni. Sasa akaenda Kariakoo day moja hivi...

Jioni jioni kakuta machinga wamepanga nguo (t-shirts) chini, wanauza. Zimefungwa kwenye makaratasi yale ya upya upya. Sasa jamaa yangu huyu ikabidi aulize kuwa wanauza kiasi gani?

Akaambiwa kila tisheti pale ni elfu 5. Si akaona bei ya kutapa na nguo ni classic. Akajaa, akazinunua 3 za elfu kumi na 5....akijua kwa bei ile amewapiga wao.

Bwana bwana...ile amefika home kaanza kutusimulia kuwa amenunua nguo nzuri kwa bei rahisi kweli. Ile kuzifungua....ha ha ha ha....ni yale ma tisheti makuuubwa oversize ya mitumba. Yamechoka mbaya, na ukilivaa unakuwa kama kituko flani.

Ikabidi moja tuligeuze dekio, moja kanyagio la mlangoni. Ha ha ha....mjini shule, tena shule hasa.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…