Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
UTAPELI WA CLUB
ilikuwa tabia yangu na marafiki zangu kutapeli wanaume pale club 7 ya kibo complex
Mwanamme anakufata unacheza anakununulia bia unakunywaa weee anazani baadae mtaondoka wotee
Basi unamtambulisha na rafiki yako mnakunywa bia za bureee mkishalewa mmepombeka vya kutosha mnabonyezana mm namwambia rafiki yangu ngoja nikakojoe huko huko natorokea napanda lift huyo naenda kujipanza kule kwenye parking ambayo ni chombingo letu la kukutana
Na rafiki yangu anasema oooh ngoja nikamtafute G mbna harudi hebu tusubirie hapo kwenye meza tumeacha savvana zipo nusu mwanamme anajua bado tupo tupo.
Baada ya muda mwanamme anakuja kushtuka ameshatorokwa mudaa na sisi hao home.
Club tunanunua savvana moja tu zingine tunatapeli na kutoroka.
Sent using Jamii Forums mobile app