Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Jamaa una roho mbaya naona umeji laza hapo unaomba usiku uingie fasta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumatatu, 4 March, 2019
Saa 07:15. Kituo cha daladala, Makumbusho.

Hapa nakutana na tapeli, na nahabarishwa ni mzoefu sana. Amekamatwa baada ya kutaka kumtapeli mdada mmoja mrembo aliyepo hapa stendi akisubiri daladala.

Kisa kipo hivi: huyu jamaa, ni smart kwa mavazi, kavaa kadeti na T-shirt ana begi kama la mwanachuo. Kamwangia dada kuwa yeye ni mwanachuo na amepoteza simu anaomba awasiliane na mwanafunzi mwenzake mara moja. Sasa kwa harakahara, unaweza kujua nu kweli kwa sababu hapa Makumbusho ni kama center ya kwenda ktk vyuo vyote vikubwa na vidogo, na zaidi hapa hapa kuna vyuo vilivyo karibu kabisa na hii stendi ya Makumbusho.

Dada kampa simu, jamaa anapiga huku anasogea mbele kidogo kidogo, mara katokomea kwa watu. Katika harakati za kupepesa macho dada kamuona. Jamaa ndo anajifanya ohh simu yako hii yapa...dada kapaniki kamjazia watu.

Mmoja wa waliofika anamfahamu tapeli. Akaanza kuelezea kuwa huyu tapeli namfahamu tangu anakuwa na anakaa Kimara Over. Target yake sana ni wakinadada wale wanaojifanya ma sister duu. Mara nyingi mawindo yake ni mavyuoni na Mlimani City. Polisi jamii wakafika wakamchjkua tapeli na kwenda naye mahali salama.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Dah wananchi wenye jazba nyingi hawakumchum kidogo?

Jr[emoji769]
 
Kuna dada alikuwa mwajiriwa wa serikalini nae alikuwa na tabia kama yako anatongozwa na mtu FB anampa namba wanawasiliana anamkubalia anawasiliana nae kama mpenzi wake,,na alikuwa na bahati ya kunasa wajinga wajinga wenye hela basii jamaa anahudumia siku ya kuonana akituma nauli ndo mwisho wa mawasiliano,,,ila kuna siku akakutana na mmoja wa mbeya akala hela zake mwisho wa siku akamzingua,,yule demu aliumwa na ugonjwa wa ajabu kama sio ndugu zake kuwahi mizimu ilikuwa azikwe,,ilibidi wafunge safari toka dar hadi mbeya kumuomba huyo jamaa msamamaha wakamlipa na gharama zake.....
Huyo dada tokea hapo Aliacha na kutumia FACEBOOK,,INSTAGRAM kwa ufupi na smartphone akauza na anatoa darasa kwa wenzake.....

Omba yasikukute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Aisee kuna watu hawadangwiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadithi hii umeitunga hapa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuharibu thread ya watu kwa kupenda sifa za kijinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina chale mpaka matakano.ni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nami ilikua imebak kiduchu Ni bigwe hv hv😄😄
 
nami ilikua imebak kiduchu Ni bigwe hv hv[emoji1][emoji1]
Ni bigwe? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
 
Kuna msukuma mmoja alitapeliwa pale posta ya mpya kwa njia hii hii... Msukuma anatoka nje,haoni watu,wajomba wa town washasepa na burungutu lake,nakuachiwa makaratasi... alilia kisukuma (Mayu nene)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…