Nshawatapeli wazungu flani pale Dodoma sijui ndo area D, walikua madogo mascout kutoka Belgium wanataka kupanda simba hill. mtoto wa Dar nkakubali kuchukia kazi kwa malipo ya Dollar ishirini kila mmoja km entrance fees, usafiri Dollar 50, na lunch box Dolla 10 hapo bado hawajanilipa mimi.
Tatizo linaanza baada ya kuuliza sana kwa wenyeji nikapata mjanja mmoja akanambia hapo simba hill kwa chini sio mbali na makazi ya Muheshimiwa Prime so itakua sio rahisi km unavyodhania. nikachekecha mimi sio guide sijawahi somea uguide, sina ata leseni ya uguide nkipanda hapo juu na wageni manjangu wakanishika me ni nani na nafanya nini itakua tatizo na huku wageni wanajua jamaa ni profesional guide.
Ilibidi me na mjanja mmoja wa kondoa ambae tulikua nae hapo Dom tukauze vimilima vingine ambavyo vyote tulisema ni simba hill, hapo zamani simba walikua wanapenda kukaa hapo juu kwenye hayo mawe ndomana pakaitwa ivyo.
tulisikia wanasema this view is breathtaking. tukajua hapa hadi tip tunapewa matapeli. kazi ilienda vizuri wakapata na picha za sunset tukapata mawe yakwenda kuweka heshima bar na watoto wazuri.
View attachment 1029611
Sent using
Jamii Forums mobile app