Visa vya matapeli na watoto wa mjini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kbs manake hapa dunia ili ufanikiwe lazma uwe MKWELI NA TAPELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine huu hapa, ni juzi tu bwana mmoja alienda M-pesa akaomba huduma ya k utoa akaambiwa sawa, wakati akiendelea utaratibu wa kutoa, mara aaah shit! Imezimika,akamwomba m pesa am-boostie, akajieleza ana mgonjwa wamemleta hosp jirani na hapo akaomba 20000 apeleke hosp. zinahitajika haraka, akampa namba ya siri ili cm ikpt chaji amtolee laki, akapewa alizoomba akaondoka, dada wa m pesa akaendelea kuchaji huku akimsbr, sbr jamaa hakuonekana, dada akaamua kuichunguza cm maana haikuwa na dalili ya kuchaji kumbe ilikuwa ni kopo kwenye betr aliweka kicherema cha sabuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani bado nachekaaa kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai ya haluwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauli nilikula Mara moja sijui. Yani nilikua kila nikiwaza kweli nipande bus nimfuate huyu mkaka?? Nikasema siwezi. Nikampigia simu nikamwambia siwezi kukufuata ulipo sababu nahisi moyo haujakukubali. Basi nikaitumbua laki yangu kwa amani kabisa.
Siyo kwa cheko hilo vipi wewe hujawahi? Kula nauli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani bado nachekaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili la nauli linatuhusu wengi[emoji85]
Unakula nauli na kwenda hauendi.
 
Inawezekana ela unazo ila hazikutoshi na kazi unayo lakini hauipendi,
 
Jamaa mmoja alipanda zile flats za Ubungo zile za zamani mpaka juu halafu akaaza kushuka taratibu kidogo kuna muuza mayai akapita na baiskeli yake... (Ilikuwa ratiba yake kupita kila siku kumbe jamaa kamlia timing)
Akiwa ghorofa ya tatu akamuita apandishe tray 2 za mayai ghorofa ya nne... Halafu akajifanya kumuita mkewe ayapokee... Wakapishana ghorofa ya pili akamwambia atamkuta chini anamlindia baiskeli na mayai yake kisha atamlipa
Kwa mwonekano wake wa kipapaa muuza mayai hakumtilia shaka... Lakini kufika ghorofa husika hakuna watu wote wameshaondoka kurudi chini hakuna baiskeli wala mayai

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…