verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Daah 🤕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la nauli linatuhusu wengi[emoji85]
Unakula nauli na kwenda hauendi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ililiwa na mtu hakuja?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naikumbuka elfu 3 yangu [emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Kama ni hivyo basi matapeli tupo wengi[emoji85]
nayo sio bure, unamsalimia mzee wa makamo 50s; shikamoo mama, anakujibu kwa karipio USINIZEESHE!!Mjini cha bure ni salamu tuu, ila hicho kisa cha kwanza ni kiboko ya yote duu 😛😛.
Hahaha ungekunywa kinywaji chako kikiisha kama haagizi tena , unachapa zako lapa!Braza wangu anavisenti vichache mfukoni ila anataka angoe demu kwa kishua akanambie nimsindikize baa kufika kanipa mchongo kwamba dogo pesa ninazo kidogo kwahyo nikinunua kinjwaji usiwe unakunywa mpaka nikukanyage kwenye mguu. Demu katimba wakawa wanapiga story uku wanasogeza kinywaji mdogo mdogo. Mimi yangu ipo kwenye glasi ila naona bro kakausha ataki kunikanyaga kama alivyo nitonya nikamwambia bro vp mbona unakausha nikanyage basi? Utajuwa mwenyewe kilichotokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au anakwambia ASANTE au unataka kuninyima nini... Hii wanayo sana wazee wa mjininayo sio bure, unamsalimia mzee wa makamo 50s; shikamoo mama, anakujibu kwa karipio USINIZEESHE!!
unajiona aibu kwa keherehere chs utii, unaona jiji zima kama linakuzomea hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naikumbuka elfu 3 yangu [emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Kama ni hivyo basi matapeli tupo wengi[emoji85]
nikamwambia aagize, nae akaagiza mi nikamwambia naenda kutoa ile hela tuendelee kupombeka.........hajaniona hadi leo na hiyo ilikuwa 2013 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilimfanyia ushenzi dada mmoja aliyetaka kujifanya yeye ni mtoto wa mjini, baada ya kumtia swaga akaeleweka lakini eti kwa kuwa alikuwa anataka aende kwanza nyumbani kuwapelekea hela, nikamuuliza ulikuwa unataka kupeleka sh ngapi akasema elfu 80 lakini hapo alikuwa ana sh elfu 50 tu so kama nitamuongezea 30 itakuwa vzr.
Nikamwambia asiwe na tatizo nitamwambia kijana wangu wa m pesa awatumie yote elfu 80 wala asiwe na wasiwasi.......basi nikampigia jamaa yangu mmoja hivi ambae kwa kweli akili zake anazijuaga yeye mwenyewe tu nikamuelezea shida yangu akasema haina shida tumtumia hyo namba, mdada akanipa mimi ndo niitume .......basi nikaituma kwa sms kwenda kwa huyo jamaa yangu mwehu mwehu, halafu kwa chini nikaongezea maneno USITUME HELA NI MISSION MAALUM.......baada ya muda tukajisogeza sehemu kupata kilaji, halafu nikampigia tena jamaa yangu nikamwambia ukishatuma elfu 80 kwenye ile namba na mi nitumie elfu 80 jamaa akakubali, nikamwambia kimwali kwamba wakati nasubiri muamala wangu basi tuagize kwa sababu yeye ana ile elfu 50 hela ikitumwa namrudishia.......kweli bana .........tukaanza kukata miti na kupanda miti huku nyama yetu pendwa ya kitimoto ikizidi kuteketea mezani, nikamshawishi tuchukue room akakubali, wakati huo kasahau na kuulizia kwenye ile namba aliyonipa kama imepokea elfu 80 au la.
Room akalipia yeye na nilivomuona alikuwa ana zaidi ya ile elfu 50 alonambia kuwa anayo, tukaendelea kupiga mtu kwa fujo, ili kumkoleza nikamtext jamaa yangu nikamwambia anitumie fasta laki moja, dakika chache tu muamala ukasoma 105,000/= nikamuonesha bi mdada akazidi kupagawa........ikawa kampa kampa tena mara akaachia mzigo, nilisimamia show kibabe maana nilikuwa nimepiga balimi mdogo mixing na jibapa........nikamuacha hoi, tukapumzika kidogo halafu nikamwambia twende nje tukaendelee kunywa, tukatoka nikamwambia aagize, nae akaagiza mi nikamwambia naenda kutoa ile hela tuendelee kupombeka.........hajaniona hadi leo na hiyo ilikuwa 2013
komando kinjekitile ngwale
Ndo ivonikamwambia aagize, nae akaagiza mi nikamwambia naenda kutoa ile hela tuendelee kupombeka.........hajaniona hadi leo na hiyo ilikuwa 2013 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Nilimfanyia ushenzi dada mmoja aliyetaka kujifanya yeye ni mtoto wa mjini, baada ya kumtia swaga akaeleweka lakini eti kwa kuwa alikuwa anataka aende kwanza nyumbani kuwapelekea hela, nikamuuliza ulikuwa unataka kupeleka sh ngapi akasema elfu 80 lakini hapo alikuwa ana sh elfu 50 tu so kama nitamuongezea 30 itakuwa vzr.
Nikamwambia asiwe na tatizo nitamwambia kijana wangu wa m pesa awatumie yote elfu 80 wala asiwe na wasiwasi.......basi nikampigia jamaa yangu mmoja hivi ambae kwa kweli akili zake anazijuaga yeye mwenyewe tu nikamuelezea shida yangu akasema haina shida tumtumia hyo namba, mdada akanipa mimi ndo niitume .......basi nikaituma kwa sms kwenda kwa huyo jamaa yangu mwehu mwehu, halafu kwa chini nikaongezea maneno USITUME HELA NI MISSION MAALUM.......baada ya muda tukajisogeza sehemu kupata kilaji, halafu nikampigia tena jamaa yangu nikamwambia ukishatuma elfu 80 kwenye ile namba na mi nitumie elfu 80 jamaa akakubali, nikamwambia kimwali kwamba wakati nasubiri muamala wangu basi tuagize kwa sababu yeye ana ile elfu 50 hela ikitumwa namrudishia.......kweli bana .........tukaanza kukata miti na kupanda miti huku nyama yetu pendwa ya kitimoto ikizidi kuteketea mezani, nikamshawishi tuchukue room akakubali, wakati huo kasahau na kuulizia kwenye ile namba aliyonipa kama imepokea elfu 80 au la.
Room akalipia yeye na nilivomuona alikuwa ana zaidi ya ile elfu 50 alonambia kuwa anayo, tukaendelea kupiga mtu kwa fujo, ili kumkoleza nikamtext jamaa yangu nikamwambia anitumie fasta laki moja, dakika chache tu muamala ukasoma 105,000/= nikamuonesha bi mdada akazidi kupagawa........ikawa kampa kampa tena mara akaachia mzigo, nilisimamia show kibabe maana nilikuwa nimepiga balimi mdogo mixing na jibapa........nikamuacha hoi, tukapumzika kidogo halafu nikamwambia twende nje tukaendelee kunywa, tukatoka nikamwambia aagize, nae akaagiza mi nikamwambia naenda kutoa ile hela tuendelee kupombeka.........hajaniona hadi leo na hiyo ilikuwa 2013
komando kinjekitile ngwale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji173]usingeweza najua... Hebu kama iko njema fanya mwekundu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]hali tete kidogo Leo... Itarudi na mdogo wake chamdeko wangu[emoji182][emoji178][emoji144][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]ile ya kwako niliitamanigi ila basi tu ikabidi nije
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji173]usingeweza najua... Hebu kama iko njema fanya mwekundu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]hali tete kidogo Leo... Itarudi na mdogo wake chamdeko wangu[emoji182][emoji178][emoji144][emoji85]
Jr[emoji769]
Si useme tu umeogopa kuhamishwa K iyo[emoji23][emoji23][emoji23]ile ya kwako niliitamanigi ila basi tu ikabidi nije
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kama huyo dem ni chadema naye unamzimia simu?? KwelMimi huwa nikipigiwa simu na mpenzi wangu(mchepuko) nikisikia tu "mpenzi nikuambie kitu" najua huyu anataka kunidanganya nimpe hela ndefu basi hapohapo nakata simu haraka natoa betri na line naficha kabisa uvunguni mwa kitanda kama wiki hivi ndiyo nawasha simu tena
ha ha ha ha,ebu fafanua namna unavyowatapeli?Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app