Visa vya matapeli na watoto wa mjini

ni jokes au kweli ?
 
Wananitongoza nawakubali sasa naanza kuwapanga namna ya kula nauli yake ukiwa mgumu kama upo mkoani nakuleta mpaka Dom kuna Bar yangu maarufu kwa kutapelia nakupeleka pale kabla hujachukua room mm si ndo mwenyeji nakwambia nipe hela ya lodge ukinipa imekula kwako natokea mlango wa pili.
ha ha ha ha,ebu fafanua namna unavyowatapeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NISHAFANYA NA BADO NAFANYA LAKINI KWA MALAYA TU,NAINGIA BAR HASWA ZILE ZENYE GESTI KWENYE MACHANGU,NACHAGUA TOTO ZURI LINALOLIPA NA WENGI WAO UZURI KICHWANI NI ZERO.KWA MFANO LAST WEEK NILIPIGA SINZA DEMU ZURI KWELI LIKANIPA HADI TIGO KWA KUJITUMA SANA...NINACHOFANYA NALIITA NAKAA NAYE MEZANI NAAGIZA BIA SIO ZAIDI YA SH 10,000 KWAKE NA KWANGU YAANI BIA KAMA NANE HIVI,TUNAINGIA CHUMBANI,KUANZIA NINAPOLIPIA BILI YA BIA NA RECEPTION NATOA HELA KWENYE POCHI LILILONONA ILA SASAAAAA...HILO POCHI LIMEJAA MANOTI YA BURUNDI, KWACHA ZA ZAMANI ZA ZAMBIA MANOTI YA CENTRAL AFRICAN REPUBLIC NA YA ZIMBABWE, USINIULIZE NAYATOA WAPI NINAYO MENGI TUNASINDIKIZIA NA 5000 YA KIBONGO,HADI HAPO DEMU IMANI IPO MAANA AKILI YAKE NI KUIBA HILO POCHI,TUKIINGIA CHUMBANI AKIANZA KUDAI HELA MBELE NAJIFANYA SIJASIKIA NAWEKA LILE POCHI MEZANI,SIJAWAHI FELI HATA SIKU MOJA,HAPO UNAPEWA MAUNO HADI BASI NIKIJISIKIA KURIDHIKA NAJIFANYA KAMA NAMUOMBA TULALE KIDOGO TUTAENDELEA,AFTER 20 MINUTES NAJIFANYA KUKOROMA YEYE ATAKACHOFANYA NI KUNYATA NA KUIBA POCHI NA KUKIMBIA NA POCHI LILONONA,LAST WEEK TU NIMEFANIKISHA HII ILA MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUTANA NA MSOMI AATAKAYESTUKIA YALE MANOTI NI TAKATAKA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…