Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Usinikumbushe mimi ninauchungu na laki yangu nimetapeliwa hv hv kwa kumuamini mtu. Hapa naishi kwa kuunga unga tu

Be Humble is free of charge [emoji873]
Duh huko uliko? [emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
 
Kuna mzungu ni Raia wa Armania nilikua nawasiliana nae kwenye mtandao2, tulikua na Biashara ya Madini (Almasi) akaniomba nimtumie picha za Mali nilizo nazo yani hayo mawe, nikamtumia picha nyingi sana zikiwa tofauti tofauti, kuna Rejection, kuna nyeupe sana yani Dee colour, kuna kubwa kuanzia carat 10 kuendelea, sasa ikafika mda ikabidi atue Bongo ili tufanye Biashara, akafika Dar akanijulisha nikamwambia panda ndege uje Mwanza, akaja bwana Mzungu yule nikampokea Airport, nikampeleka Hotel asbhi yake tukaamkia Biashara, nikaanza kumwaga Mali mezani, nilimimina kila aina ya Almasi kasoro pink2 ndio ckua nayo, walikua wawili wao mimi nipo peke yangu yani one man show, lkn lkn kila Mali akihama bei ananihama pungufu, yani mfano Mali ya dola elf5 yeye anatoa elf3 au mbili, mwisho nikaona hkna wanunuzi hpa nikamuuliza umekuja kununua kweli au unafanya window shop? Akasema kweli nimekuja kununua, nikamtupia tena carat 42 Dee colour manake ndio ilikua kipimo changu cha mwisho kwake, nikamwambia hii Mali nataka dola laki5 mzungu Akasema dola laki2 nikachukua Mali yangu nikaweka mfukoni nikamwambia kwaheri, lkn kumbe wakati nafanya nae biashara alikua na mawasiliano na jamaa wengine kumbe ni matapeli, walikuja kumtupia chupa zilizochongwa wao matapeli wanaziita (nyau) alipigwa mzungu Dola laki 4, yule mzungu nahisi alienda kujiua uko Armania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hii trick kuna kadada kanaitumia akishakula vya watu. Siku amenihadithia tukio alilomfanya diwani mmoja nilicheka nusu nikojoe
Naona visa vingi hapa ni vya mapenzi basi ngoja nami nitoe changu
Binti mmoja mkazi wa kino shombe fulani hivi alikuwa na trick yake moja kujifanya ana maruhani.. Anakunywea na kukulia vyako lakini kila ukitaka mchezo anakupanga au anakusubirisha.. Akishakufanyia hivyo kama mara nne ya tano atakubali ila mkifika gesti anapandisha maruhani yake majini mpaka mashetani... Kwa jinsi alivyo msanii itabidi tu utoke nduki umwachie na chumba
Kupata hizi habari nikasema subiri huyu nitamkomesha...
Tukafanya mitoko kama miwili hivi ananipanga... Mimi sikuwa na pressure nikamwambia ngono kwangu sio kipaumbele... Nyoko zake akahadaika... Mtoko wa tatu tukatoka mpaka gesti moja Mandela road...
Baada ya kula na kunywa tukazama ndani.... Kufika ndani akaona sina pressure naye.... Nilikuwa na kibegi changu nimeweka mambo yangu kiko mezani... Basi akaanza vituko... Mara akaanza kujinyoosha na kujinyonga kama nyoka huku anapiga miayo ya kujilazimisha...
Mara akasema anasikia joto, mara baridi halafu taratibu akaanza kupandisha madude yake
Kwenye kibegi changu kulikuwa na joka jeusi la plastic, kinyonga mfu, na mahirizi kibao.... Basi wakati anaendelea kupandisha Mimi nikachukua kibegi changu na kutoa zana niague mgonjwa.....
Kuliona lile joka nilisikia tu akisema mama nakufa... Halafu mashetani, majini na maruhani yote yakaingia mitini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mshtuko alioupata mpaka namaliza round ya kwanza ndio nikaona anaanza kutoa ushirikiano... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....

Niunganishe naye tafadhali ila usimwambie na siku hiyo nitavaa hirizi mpaka kiunoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ungeua mtoto wa watu [emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mpaka sasa bado unaongoza ligi kwa hii mbinu..wacha tuendelee kusubiri tuone kama kuna mtu atakushusha kileleni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NGOJA NIWAPE MKASA MMOJA

kuna boss wangu juzi nimemtapeli kazi aliyoniandikia pamoja na 50000 ya lodge.

Alikuwa ananitongoza nikakubali nikamwambia aniandalie document flani ambazo nilitakiwa nikaguliwe kazini kwa kuwa alijua atapata mzigo akaniandalia hizo document.

Siku ya kuzifata akaniambia yupo pale Madengo bar ya Dodoma wengi wanaifahamu. Basi nikaenda pale nikaagiza savvana kama mbili na Kitimoto rost nikazifukia nikala nikashiba.

Nikamwambia document zikwapi akasemaa hizi hapa kwenye bahasha nikazichukua nikaweka kwenye mkoba nikatulia.

Akasema tutafute lodge tukalale mm nikamwambia kwa sababu wewe ni mheshimiwa watu wakikuona itakuwa shida unatengeneza skendo nipe hela mm nikachukue chumba pale Simba hotel alafu nakupigia simu unakuja.

Akawa amenipa elfu 50000 ya chumba mm nikachukua pikpik ndruuuuki mpaka Geto kwangu.

Nilivyofik ninatumia sms usinitafute mm nipo nyumbani.

Hapa nilipo nawaza siku nikipata shida ya kikazi yeye ndiye boss wa hicho kitengo atanisaidia?

Maana alimpigia simu mpaka kiongozi wa ofisi yetu kumwambia jinsi mfanyakazi wake nilivyomtapeli.
Mwisho wa tapeli ni mbaya kama sio kifo ni kuzaliljshwa vibaya sana, hivyo we endelea kula vya watu alafu mzigo hautoi siku yako ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom