Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Visa vya matapeli na watoto wa mjini

NGOJA NIWAPE MKASA MMOJA

kuna boss wangu juzi nimemtapeli kazi aliyoniandikia pamoja na 50000 ya lodge.

Alikuwa ananitongoza nikakubali nikamwambia aniandalie document flani ambazo nilitakiwa nikaguliwe kazini kwa kuwa alijua atapata mzigo akaniandalia hizo document.

Siku ya kuzifata akaniambia yupo pale Madengo bar ya Dodoma wengi wanaifahamu. Basi nikaenda pale nikaagiza savvana kama mbili na Kitimoto rost nikazifukia nikala nikashiba.

Nikamwambia document zikwapi akasemaa hizi hapa kwenye bahasha nikazichukua nikaweka kwenye mkoba nikatulia.

Akasema tutafute lodge tukalale mm nikamwambia kwa sababu wewe ni mheshimiwa watu wakikuona itakuwa shida unatengeneza skendo nipe hela mm nikachukue chumba pale Simba hotel alafu nakupigia simu unakuja.

Akawa amenipa elfu 50000 ya chumba mm nikachukua pikpik ndruuuuki mpaka Geto kwangu.

Nilivyofik ninatumia sms usinitafute mm nipo nyumbani.

Hapa nilipo nawaza siku nikipata shida ya kikazi yeye ndiye boss wa hicho kitengo atanisaidia?

Maana alimpigia simu mpaka kiongozi wa ofisi yetu kumwambia jinsi mfanyakazi wake nilivyomtapeli.
Ata usiogope mwayaa hao ndo dawa yao iyo
 
Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.

Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?

Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe alibadili inakuhusu kabisa,OK nami nimeanza kutamani kutapeliwa na wewe ila isizidi 1500/= ikizidi walahi ntaenda Tanga Kwa wazee
 
Kisa cha sita
Miaka ile ya 2000 mpaka 2007 hivi ilikuwa ukisafiri kwenda nje kupitia Ethiopia lazima ulale Adis Ababa kwa gharama zao wenyewe... Sasa hotel ya kulaza wageni wa airport ikawa imevamiwa na machangu wa kihabeshi... Walikuwa wanaipenda sana kwakuwa ni ya foreigners na mara nyingi wanalala usiku mmoja tu
Kwahiyo walichokuwa wanafanya hawa machangu ni kupaka dawa ya usingizi kwenye manyonyo yao.. Waliowahi kudate na watoto wa kihabeshi wanajua jinsi walivyo na chuchu konzi.....
Akiingia chumbani kwako lazima kwanza aende chooni kisha akitoka huko lazima atataka umnyonye matiti yake... Ukikubali tu kwishney... Hutamfanya na utaamshwa siku ya pili uwahi gari la airport (kuna gari maalum la kuchukua wageni).... Utashangaa usingizi mzito ulitoka wapi lakini ukijikagua umeshalizwa pesa na vitu vingine kasoro passport..... Sasa ni jukumu lako kuendelea na safari ama kuahirisha ufungue kesi
Kesho nitasimulia nilichofanya mpaka akalala yeye na mimi nikaondoka salama na vitu changu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Nauli nilikula Mara moja sijui. Yani nilikua kila nikiwaza kweli nipande bus nimfuate huyu mkaka?? Nikasema siwezi. Nikampigia simu nikamwambia siwezi kukufuata ulipo sababu nahisi moyo haujakukubali. Basi nikaitumbua laki yangu kwa amani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ali-react vipi huyo Bwana, that was very Savage and cruel!
 
Mwingine huu hapa, ni juzi tu bwana mmoja alienda M-pesa akaomba huduma ya k utoa akaambiwa sawa, wakati akiendelea utaratibu wa kutoa, mara aaah shit! Imezimika,akamwomba m pesa am-boostie, akajieleza ana mgonjwa wamemleta hosp jirani na hapo akaomba 20000 apeleke hosp. zinahitajika haraka, akampa namba ya siri ili cm ikpt chaji amtolee laki, akapewa alizoomba akaondoka, dada wa m pesa akaendelea kuchaji huku akimsbr, sbr jamaa hakuonekana, dada akaamua kuichunguza cm maana haikuwa na dalili ya kuchaji kumbe ilikuwa ni kopo kwenye betr aliweka kicherema cha sabuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara mdada wa watu analia kama kafiwa kumbe katapeliwa.Daaa kweli jamaa kazidisha
 
Akasema tu poa S.. Huwezi maini tumebaki washkaji mpaka leo japo na yeye haamini alinikosa kosa maana ndio nilikua mpya kwenye ofisi halafu kila mtu anataka mazoea na yeye akaniwin ila nikamkatia katikati

Sent using Jamii Forums mobile app
That's life! Huyo jamaa atakuwa mstaarabu , vinginevyo lazima angeweka kinyongo na kutafuta mwanya wa revenge!
 
Jamaa Auza Ghorofa Lisilolake Kkoo kwa Milioni 400Tsh.

Ilikuwaje?
Jamaa ni kutoka Manzese Sokoni, mti pesa.

Jamaa alikuwa kila siku jamani nauza ghorofa langu kariakoo...nauza ghorofa langu kkoo...ikawa kama wimbo.

Kumbe jamaa kajipanga kweli kuuza "ghorofa lake" kkoo...

Sasa kumbe kuna ghorofa moja kalilenga pale kkoo chini kuna garage. Ikawa anaenda pale garage na kusalimia na wakati mwingine anatoa offer kwa vijana wa garage...ya mihogo na soda...hali ikaendelea kwa miezi kama sita mpaka mafundi na saidia fund wote wakamzoea pale chini.

Mara akawa siku nyingine anapanda ghorofa, anapandisha ngazi mpaka juu sasa flow za chini hujui anaenda kwa nani kule juu na huwezi kumuuliza wakati ashakuwa alwatan pale...mara siku kaja na watu akapanda nao mpaka juu kbsaa flow ya tatu. Kumbe wale aliyekuja nao mmoja ni tajiri kalengwa toka Arusha aje apigwe Dar.
Kingi aliyoingizwa jamaa ni kuwa jamaa anataka kuuza ana kesi na anauzia kwa mwanasheria wake. Basi tajiri akaliona ghorofa...akalikagua mpaka akalidhika kisha wakaenda kwa mwanasheria wake ofisini. Malipo yakafanyika ofisini huku tajiri anapigwa na kiyoyozi hahaa...

Akatoka na document sake akaenda zake hotelini. Kesho asubui anaenda ghorofani kwake kuwapa notisi wapangaje wake wapya hahaaaa...hapo ndo jamaa akaishiwa nguvu. Akaambiwa mbona wenyewe wapo flow ya kwanza...jamaa akatoa document zake za mauziano...hola...akawai ofisini kwa mwanasheria hola...wala hawajulikani popote ila frame ilikodishwa miezi kama mitatu nyuma kwa misheni moja tu ya kuuza ghorofa kkoo...yule tajiri akawauliza mafundi garage kuwa mbona tulikuja naye hapa na mkapiga naye story sana. Wakamwambia huwa anakuja marakwamara na kutupa offer hapa hivyo tunamuitaga bosi.

Jamaa akapigwa kwa style hiyo.
Sasa alivyofanikisha hilo akarudi pale kijiweni akawaambia si niliwaambia nuaza ghorofa langu kkoo? Sasa nshauza anayekunywa anywe ebwana zilinyweka bia hapo si mchezo...asubui jamaa hakuonekana mpka leo.

Nb

Utapeli huu umetokea miaka kadhaa nyuma.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Nakumbuka enzi hizo za Jakaya vyuma havijakaza tulikuwa wadada wa 5 tunapeana dili za kuwanyoosha watu wazima ovyo mibaba ilokuwa inapenda kutongoza ovyo.
Teamwork ilikuwa na mmbulu,mnyarwanda,shombe la kizungu,kisomali na mchaga kila mtu alikuwa akikutana na danga anatupasia namba mmoja anajifanya kakosea kutuma hela afu ana tuma msg au kupiga simu uku analia lia katuma pesa kimakosa alikuwa anamtumia mama ake anaumwa basi muamala unarudi kama ilikuwa efu 5 inakuwa laki na wataendelea kuwasiliana na vizinga vinaendelea mtu anapigwa huku na huku ye hana habari ndo ukawa mchezo wetu.
siku ya siku kidogo yatutokee puani mimi nilikutana mkongo akawa anajifanya mfanyabishara mkubwa kumbe tapeli alijua ntababaika ili anile papuchu bure nikamlia vihela vyake nikampotezea nikampa rafiki yangu namba akatumia mbinu zote na rafiki yetu mwingine wakamtapeli mkongo hela ndefu wakamblock siku moja tunakutana na yule mkongo tukiwa wote wa3 akajua kabisa alichezewa mchezo nilikimbia mbio zote kati kati ya mji.
 
Tena nyie bureee kabisaa mnatapeliwa kirahisiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi demu akinitapeli nauli nachukulia kawaida ,namshukuru amenistili moyo kuliko aniigizie nipende aniumize ,bora anilie hela nijue dada hajanipenda ,tatizo tukionana live wanagundua walichokipoteza na inakuwa too late naishia kuwaomba waniunganishie rafiki zao.
 
Aibiwa bodaboda Mbezi

Kuna bibi mmoja Mbezi Makabe anaishi peke take bila motto wala mjukuu. Sasa kuna watu huwa wanajitolea kumsaidia kuchota maji pale mtaani. Sasa ameshazoea watu wengi na wengine wala hawajui...huwa wanaenda pale kisha wanamuuliza bibi una maji? Kama hana anwapa madumu koz wengi nibwanaume wanaenda kumchitea maji umbali kama wa mita 400 hivi.

Sasa kuna jamaa ashasoma mchezo huo. Akaanza kwenda kwa bibi naye akawa anamchotea maji. Yeye akazidisha akawa anaenda na mikate siku nyingine ili bibi anywee chai asubui.

Bibi akamzoea jamaa...

Siku ya siku jamaa kaja na bodaboda katoa mbali kwa maelezo kuwa anaenda kwa bibi mara moja na kugeuka.
Wakafika kwa bibi, jamaa anamikate miwili mkononi. Kufika pale jamaa kamsalimia bibi kama kawaida, akaingia ndani kwa bibi akaweka mikate. Bibi anapika chai huku bodaboda anamsubiri jamaa hiyo alikuwa go and return.

Mara yule bodaboda akaitwa na jamaa kisha akapewa noti ya elfu kumi akachukue blue band dukani umbali kama mita 400 na duka analiona lipo ktk kona fulani kiasi ukiwa unanua bidhaa pikipiki huioni. Jamaa akfanya kosa la kwenda kwa miguu na funguo kaacha palepale...yaani kitendo cha bodaboda kukunja kona jamaa kamwambia bibi ngoja nikachote maji akatoka na madumu mawili ya bibi akawasha bodaboda akasepa.

Bodaboda anarudi na blueband mkononi bibi anamwambia mwenzio kaenda kuchota maji...jamaa kakaa kama dkk kumi akaona bora aulize kwani bombani wapi? Akaelekezwa akafika hakuna bodaboda wala madumu...jamaa akawa ashaibiwa hahaaaaaaaa....
Jamaa hajaubali kaenda kushtaki, defenda likamchukua bibi...hoji hoji na wewe bibi anasema hamjui ila huwa anakujaga sana kumchotea maji kama wengine wanamchotea...polisi wakamwchia na jamaa akawa katapeliwa kizembe saaana...

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
NGOJA NIWAPE MKASA MMOJA

kuna boss wangu juzi nimemtapeli kazi aliyoniandikia pamoja na 50000 ya lodge.

Alikuwa ananitongoza nikakubali nikamwambia aniandalie document flani ambazo nilitakiwa nikaguliwe kazini kwa kuwa alijua atapata mzigo akaniandalia hizo document.

Siku ya kuzifata akaniambia yupo pale Madengo bar ya Dodoma wengi wanaifahamu. Basi nikaenda pale nikaagiza savvana kama mbili na Kitimoto rost nikazifukia nikala nikashiba.

Nikamwambia document zikwapi akasemaa hizi hapa kwenye bahasha nikazichukua nikaweka kwenye mkoba nikatulia.

Akasema tutafute lodge tukalale mm nikamwambia kwa sababu wewe ni mheshimiwa watu wakikuona itakuwa shida unatengeneza skendo nipe hela mm nikachukue chumba pale Simba hotel alafu nakupigia simu unakuja.

Akawa amenipa elfu 50000 ya chumba mm nikachukua pikpik ndruuuuki mpaka Geto kwangu.

Nilivyofik ninatumia sms usinitafute mm nipo nyumbani.

Hapa nilipo nawaza siku nikipata shida ya kikazi yeye ndiye boss wa hicho kitengo atanisaidia?

Maana alimpigia simu mpaka kiongozi wa ofisi yetu kumwambia jinsi mfanyakazi wake nilivyomtapeli.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Usijione mjanja, kwa taarifa yako mademu wasumbufu kama nyie ndio mnafanyya wanaume Wanawasugueni kwa VUMBI LA MKONGO, KULIWA 0713 au kukupigeni mtungo wa mtu 3 ili tabia zenu zikome. Dawa yako inachemka sooon nakwambia achaaaaaa
 
Mangi ajifanya mjanja, apigwa laki sita.

Mangi anaduka hapo TipTop kamweka kijana. Sasa akaja jamaa mmoja dukani kwake akamwambia dogo ampimie bidhaa zikafika kama laki tatu. Sasa kumbe bosi yupo ktk mtu pembeni mchezo wote anauoana. Akaenda pale dukani akamwambia lipa kbsaa jamaa akamwambia twende utarudi na pesa...mmiliki wa duka akakubali akapanda guta wote wanaenda pamoja...kufika karibu na mabibo sokoni jamaa akasema anataka na mikungu ya ndizi...hivyo akawaelekeza waende nyumbani kwake akawaelekeza nyumba inayoneka mbele wamuulizie mama Jack...

Kumbe kile kitendo wale wanaenda kwa mama Jack yule jamaa akarudi pale dukani fasta kwa dogo...akamwambia amapimie tena mchele na maharage na mazagazaga kibao jumla laki sita dogo akaambiwa afanye fasta ili awawai ili bosi wake yule dogo wa dukani aunganishe arudi na pesa yote. Dogo akfanya kama alivyoelekezwa ili jamaa awai...
Mwisho wa siku bosi na mwendesha guta wamefika ktk ile nyumba wanaulzia mama Jack awape pesa yao wanaambiwa hakuna mtu kama huyo....Yule bosi anasema mpumbavu alitaka kunitapeli huyu...nilimstukia mshenzi sana hahaa...kurudi dukani sasa anakuta tobo la laki sita alichoka

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom