Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Usinikumbushe mimi ninauchungu na laki yangu nimetapeliwa hv hv kwa kumuamini mtu. Hapa naishi kwa kuunga unga tu

Be Humble is free of charge [emoji873]
Duh huko uliko? [emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
 
Kuna mzungu ni Raia wa Armania nilikua nawasiliana nae kwenye mtandao2, tulikua na Biashara ya Madini (Almasi) akaniomba nimtumie picha za Mali nilizo nazo yani hayo mawe, nikamtumia picha nyingi sana zikiwa tofauti tofauti, kuna Rejection, kuna nyeupe sana yani Dee colour, kuna kubwa kuanzia carat 10 kuendelea, sasa ikafika mda ikabidi atue Bongo ili tufanye Biashara, akafika Dar akanijulisha nikamwambia panda ndege uje Mwanza, akaja bwana Mzungu yule nikampokea Airport, nikampeleka Hotel asbhi yake tukaamkia Biashara, nikaanza kumwaga Mali mezani, nilimimina kila aina ya Almasi kasoro pink2 ndio ckua nayo, walikua wawili wao mimi nipo peke yangu yani one man show, lkn lkn kila Mali akihama bei ananihama pungufu, yani mfano Mali ya dola elf5 yeye anatoa elf3 au mbili, mwisho nikaona hkna wanunuzi hpa nikamuuliza umekuja kununua kweli au unafanya window shop? Akasema kweli nimekuja kununua, nikamtupia tena carat 42 Dee colour manake ndio ilikua kipimo changu cha mwisho kwake, nikamwambia hii Mali nataka dola laki5 mzungu Akasema dola laki2 nikachukua Mali yangu nikaweka mfukoni nikamwambia kwaheri, lkn kumbe wakati nafanya nae biashara alikua na mawasiliano na jamaa wengine kumbe ni matapeli, walikuja kumtupia chupa zilizochongwa wao matapeli wanaziita (nyau) alipigwa mzungu Dola laki 4, yule mzungu nahisi alienda kujiua uko Armania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hii trick kuna kadada kanaitumia akishakula vya watu. Siku amenihadithia tukio alilomfanya diwani mmoja nilicheka nusu nikojoe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hii trick kuna kadada kanaitumia akishakula vya watu. Siku amenihadithia tukio alilomfanya diwani mmoja nilicheka nusu nikojoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Niunganishe naye tafadhali ila usimwambie na siku hiyo nitavaa hirizi mpaka kiunoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Ungeua mtoto wa watu [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mpaka sasa bado unaongoza ligi kwa hii mbinu..wacha tuendelee kusubiri tuone kama kuna mtu atakushusha kileleni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mpaka sasa bado unaongoza ligi kwa hii mbinu..wacha tuendelee kusubiri tuone kama kuna mtu atakushusha kileleni..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Mwisho wa tapeli ni mbaya kama sio kifo ni kuzaliljshwa vibaya sana, hivyo we endelea kula vya watu alafu mzigo hautoi siku yako ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…