Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njooo PM, hakuna kitu napenda kama kutapeliwa na mtoto mzuriiiiiiiiiiiii kama weweMimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo unitapeli na mimi, jana nimeuza jiwe langu la dhahabu, nina milioni mia kasoro.....Labda kama sio Ngosha mimi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua kuanzia kiuno nyigu mpaka makhaba kama yote[emoji182][emoji178][emoji39][emoji39][emoji39][emoji123]
Jr[emoji769]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji85][emoji85][emoji85]NGOJA NIWAPE MKASA MMOJA
kuna boss wangu juzi nimemtapeli kazi aliyoniandikia pamoja na 50000 ya lodge.
Alikuwa ananitongoza nikakubali nikamwambia aniandalie document flani ambazo nilitakiwa nikaguliwe kazini kwa kuwa alijua atapata mzigo akaniandalia hizo document.
Siku ya kuzifata akaniambia yupo pale Madengo bar ya Dodoma wengi wanaifahamu. Basi nikaenda pale nikaagiza savvana kama mbili na Kitimoto rost nikazifukia nikala nikashiba.
Nikamwambia document zikwapi akasemaa hizi hapa kwenye bahasha nikazichukua nikaweka kwenye mkoba nikatulia.
Akasema tutafute lodge tukalale mm nikamwambia kwa sababu wewe ni mheshimiwa watu wakikuona itakuwa shida unatengeneza skendo nipe hela mm nikachukue chumba pale Simba hotel alafu nakupigia simu unakuja.
Akawa amenipa elfu 50000 ya chumba mm nikachukua pikpik ndruuuuki mpaka Geto kwangu.
Nilivyofik ninatumia sms usinitafute mm nipo nyumbani.
Hapa nilipo nawaza siku nikipata shida ya kikazi yeye ndiye boss wa hicho kitengo atanisaidia?
Maana alimpigia simu mpaka kiongozi wa ofisi yetu kumwambia jinsi mfanyakazi wake nilivyomtapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi huwa nikipigiwa simu na mpenzi wangu(mchepuko) nikisikia tu "mpenzi nikuambie kitu" najua huyu anataka kunidanganya nimpe hela ndefu basi hapohapo nakata simu haraka natoa betri na line naficha kabisa uvunguni mwa kitanda kama wiki hivi ndiyo nawasha simu tena
Njooo PM, hakuna kitu napenda kama kutapeliwa na mtoto mzuriiiiiiiiiiiii kama wewe
Njoo PM, uone kama utalipia huduma zote nitakazoghalimia!
Weeuuweer kesho chungulia muamala Kiteshe inakuhusu.... Just can't wait [emoji39][emoji39][emoji8][emoji8][emoji8]Hahahah [emoji23][emoji23][emoji23]basi tu sema nilikuwaga na aibu saivi sna aibu alafu sina tena zile stress mahaba kama yoteee
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu chamotr[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe dada unanifurahishaga sana.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji85][emoji85][emoji85]
Jr[emoji769]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]ngoja niutie kasi.... Sitamani kulia kipare tena.. UuwiiiiiCha saivi kitakuwa kitamu nimekupa ahadi hata weekend ijayo nikuletee kiporo maana wewe ni mtraaamu hasaaaaa jamani agrrrrr[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji524][emoji524][emoji524][emoji524][emoji524][emoji173][emoji173][emoji180][emoji180][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo PM, uone kama utalipia huduma zote nitakazoghalimia!
Weeuuweer kesho chungulia muamala Kiteshe inakuhusu.... Just can't wait [emoji39][emoji39][emoji8][emoji8][emoji8]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisikia mjini shule, shamba darasa. Jiulize hao waliotunga huo usemi walikuwa na maana gani ama walikutana na masahabu gani!
Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza mno. Kina uwezo wa ajabu hasa pale mtu anapokutana na changamoto mbalimbali. Huko vijijini akili nyingi zimelala kutokana na kukosa changamoto za kimaisha.
Kijijini hata kama huna kazi huna pesa utaishi tu... Sio mjini! Mjini tangu kunapambazuka mpaka kunakuchwa kila kitu ni shekeli. Hakuna cha bure mjini. Lakini vilevile mjini kila mtu anatamani kuishi maisha fulani lakini changamoto ya elimu kipato na ajira ndio kikwazo.
Hivyo basi kuweza kukabiliana na changamoto hizo watu kila uchao hubuni mbinu mpya za kuingiza kipato. Kuanzia utapeli, wizi, ujambazi, kukaba, kurubuni nknk. Kila mmoja wetu hawezi kukosa kisa cha hawa jamaa wanaoishi kwa ujanja ujanja. Nitaaza mimi kwa kusimulia vichache
Kisa cha kwanza
Huyu jamaa yeye hakuwa na kazi maalum. Ila muda wote ni msafi akionekana kama afisa fulani hivi. Siku moja akawa kakosa nauli kabisa ya kurudi nyumbani kwake Tabata na yuko kijitonyama.
Alichofanya ni kuwarubuni wale jamaa wa magari ya majitaka kuwa anataka huduma hiyo Tabata... Wakapatana bei akaenda nao mpaka mtaa wa pili kufika kwake.
Akashuka huku akiwaelekeza uchochoro mmoja kuwa ndio kwake... Akaingia hapo akatokea upande wa pili akasepa mazima.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa cha pili.
Ni wale jamaa wanaorubuni watoto kuwanunulia chakula ama chochote. Ataenda na mtoto hapo mahali ataagiza kama ni bidhaa ama chakula.... Kisha atasepa na kumuacha bond mtoto wa watu..
Karibu nawe kabla sijaendelea na visa vingine
Jr[emoji769]
Poa takupeleka MAPENE (pochi nene)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]ila kweli kiteshe hahaha itabidi saivi tubadilishe bhn si unajua kule kuna milima na mabondee sasa viatu virefu nitatembea vipi jaman [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app