Mambo mengine huwa yanatokea kama fundisho maishani ,,nilikua nataji pesa haraka kila mtu nikimsogelea ananiambia sina pesa nikasema isiwe shida nilikua namzigo wangu Tv nilikokua natumia nikaweka add kwenye mtandao Kwa bei ya chini mana nikua naitaj pesa fasta,nikapigiwa simu najama kaniambia anaagiza dereva wake aje kuichukua Ila pesa itabid aweke bank nikampa bank details ,mdaa si mrefu dereva akajaa hadii home nika mwambia subiri ni confirm kama pesa imeingia kwenye account ,,badaa ya Ku cheki nikaona sms yakwamba pesa imeingia Ila ilivo utaratibu wa bank tofauti inabid pesa icukue 24 h Ku reflect kwenye account,,nikampa dereva mzigo, na picha nikamuagizia jama Kwa ushahidi kwamba mzigo amepewa dereva wake ,,nikaka nasubiri pesa I reflect kwenye account sioni chochote badaa ya 24h nikenda bank nilichoambiwa kidogo nidondoshe chozi ,,ikabid niambiliwe muamala ule ulikuwa fake ,,daah ukizingatia nilikua naitaj pesa urgently ,,nikaona Mimi kidume nika make plan B na Mungu akajaliya mambo yakaenda sawa ,,Ila from that time i will never trust anyone so easily kabisaa!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using
Jamii Forums mobile app