Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenikumbusha mbali, hizo ndio ilikuwa zangu enzi hizo mpaka nilinunua fenicha za ndani kuanzia kitanda, godoro kabati makochi tv nk kwa pesa za kutumiwa nauli hahaha dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]wanaume tunaibiwa sana wallah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
[emoji100][emoji100][emoji100][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe upo Dom nikija ntakusaka namie unitapeli
#bamia_ndefunene
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji100][emoji100][emoji100]
Jr[emoji769]
Mimi bingwa wa kutapeli wanaume wa mitandaoni wanitumie nauli.
Kama ni utapeli basi na mimi nipo kwenye hilo kundi najiuliza nini sababu mbna kazi ninayo pesaa ninazo lakini natapeli hela za nauli?
Basi najikuta na kesho naendelea tu kutapeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kaka izo nauli tunapigwa sana sema ndio ivyo wanaume tumeumbwa mateso [emoji23][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kaka izo nauli tunapigwa sana sema ndio ivyo wanaume tumeumbwa mateso [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah BegesheniNjoo unitapeli na mimi, jana nimeuza jiwe langu la dhahabu, nina milioni mia kasoro.....Labda kama sio Ngosha mimi!
Mkuu vipi mbona kimya mkuu?Ila wanaume wanaokunywa bar ndo wanaongoza kwa kututapeli.
Na ukimya/usiriKweli kaka izo nauli tunapigwa sana sema ndio ivyo wanaume tumeumbwa mateso [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna wale wapo kariakoo karibu na shule ya uhuru wakiwauzia watu sabuni badala ya simu yenyewe.na mabosi zao ndio wenye maduka wakiwazamini simu hizo kisha jioni kuleta hesabu.na wenye maduka ya vitu vya nyumbani hapo kkoo ndio wanao ongoza kuhuza miche ya sabuni kwa matapeli.[emoji23][emoji23]Ukisikia mjini shule, shamba darasa. Jiulize hao waliotunga huo usemi walikuwa na maana gani ama walikutana na masahabu gani!
Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza mno. Kina uwezo wa ajabu hasa pale mtu anapokutana na changamoto mbalimbali. Huko vijijini akili nyingi zimelala kutokana na kukosa changamoto za kimaisha.
Kijijini hata kama huna kazi huna pesa utaishi tu... Sio mjini! Mjini tangu kunapambazuka mpaka kunakuchwa kila kitu ni shekeli. Hakuna cha bure mjini. Lakini vilevile mjini kila mtu anatamani kuishi maisha fulani lakini changamoto ya elimu kipato na ajira ndio kikwazo.
Hivyo basi kuweza kukabiliana na changamoto hizo watu kila uchao hubuni mbinu mpya za kuingiza kipato. Kuanzia utapeli, wizi, ujambazi, kukaba, kurubuni nknk. Kila mmoja wetu hawezi kukosa kisa cha hawa jamaa wanaoishi kwa ujanja ujanja. Nitaaza mimi kwa kusimulia vichache
Kisa cha kwanza
Huyu jamaa yeye hakuwa na kazi maalum. Ila muda wote ni msafi akionekana kama afisa fulani hivi. Siku moja akawa kakosa nauli kabisa ya kurudi nyumbani kwake Tabata na yuko kijitonyama.
Alichofanya ni kuwarubuni wale jamaa wa magari ya majitaka kuwa anataka huduma hiyo Tabata... Wakapatana bei akaenda nao mpaka mtaa wa pili kufika kwake.
Akashuka huku akiwaelekeza uchochoro mmoja kuwa ndio kwake... Akaingia hapo akatokea upande wa pili akasepa mazima.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa cha pili.
Ni wale jamaa wanaorubuni watoto kuwanunulia chakula ama chochote. Ataenda na mtoto hapo mahali ataagiza kama ni bidhaa ama chakula.... Kisha atasepa na kumuacha bond mtoto wa watu..
Karibu nawe kabla sijaendelea na visa vingine
Jr[emoji769]
Duuuukuna wale wapo kariakoo karibu na shule ya uhuru wakiwauzia watu sabuni badala ya simu yenyewe.na mabosi zao ndio wenye maduka wakiwazamini simu hizo kisha jioni kuleta hesabu.na wenye maduka ya vitu vya nyumbani hapo kkoo ndio wanao ongoza kuhuza miche ya sabuni kwa matapeli.[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app