Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Acha tuu huo mkasa sijawahi kumsimulia mtu zaidi ya yule shoga angu aliejionea na humu maana niliona dunia imenielemea yani na mm nimetapeliwa duu kijingaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tuu huo mkasa sijawahi kumsimulia mtu zaidi ya yule shoga angu aliejionea na humu maana niliona dunia imenielemea yani na mm nimetapeliwa duu kijingaaaa
Soooo unfair ungerudisha nauliNauli nilikula Mara moja sijui. Yani nilikua kila nikiwaza kweli nipande bus nimfuate huyu mkaka?? Nikasema siwezi. Nikampigia simu nikamwambia siwezi kukufuata ulipo sababu nahisi moyo haujakukubali. Basi nikaitumbua laki yangu kwa amani kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa yangu mmoja alipigwa hii na malaya villa mwanza.Kisa cha sita
Miaka ile ya 2000 mpaka 2007 hivi ilikuwa ukisafiri kwenda nje kupitia Ethiopia lazima ulale Adis Ababa kwa gharama zao wenyewe... Sasa hotel ya kulaza wageni wa airport ikawa imevamiwa na machangu wa kihabeshi... Walikuwa wanaipenda sana kwakuwa ni ya foreigners na mara nyingi wanalala usiku mmoja tu
Kwahiyo walichokuwa wanafanya hawa machangu ni kupaka dawa ya usingizi kwenye manyonyo yao.. Waliowahi kudate na watoto wa kihabeshi wanajua jinsi walivyo na chuchu konzi.....
Akiingia chumbani kwako lazima kwanza aende chooni kisha akitoka huko lazima atataka umnyonye matiti yake... Ukikubali tu kwishney... Hutamfanya na utaamshwa siku ya pili uwahi gari la airport (kuna gari maalum la kuchukua wageni).... Utashangaa usingizi mzito ulitoka wapi lakini ukijikagua umeshalizwa pesa na vitu vingine kasoro passport..... Sasa ni jukumu lako kuendelea na safari ama kuahirisha ufungue kesi
Kesho nitasimulia nilichofanya mpaka akalala yeye na mimi nikaondoka salama na vitu changu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Hujawahi sikia wenye pesa mbovu nanunua....Una kazi ya kukusanya mikwacha ya nje khaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi 2013 kulikuwa na balimi ndogo? Mchai chai umezidiNilimfanyia ushenzi dada mmoja aliyetaka kujifanya yeye ni mtoto wa mjini, baada ya kumtia swaga akaeleweka lakini eti kwa kuwa alikuwa anataka aende kwanza nyumbani kuwapelekea hela, nikamuuliza ulikuwa unataka kupeleka sh ngapi akasema elfu 80 lakini hapo alikuwa ana sh elfu 50 tu so kama nitamuongezea 30 itakuwa vzr.
Nikamwambia asiwe na tatizo nitamwambia kijana wangu wa m pesa awatumie yote elfu 80 wala asiwe na wasiwasi.......basi nikampigia jamaa yangu mmoja hivi ambae kwa kweli akili zake anazijuaga yeye mwenyewe tu nikamuelezea shida yangu akasema haina shida tumtumia hyo namba, mdada akanipa mimi ndo niitume .......basi nikaituma kwa sms kwenda kwa huyo jamaa yangu mwehu mwehu, halafu kwa chini nikaongezea maneno USITUME HELA NI MISSION MAALUM.......baada ya muda tukajisogeza sehemu kupata kilaji, halafu nikampigia tena jamaa yangu nikamwambia ukishatuma elfu 80 kwenye ile namba na mi nitumie elfu 80 jamaa akakubali, nikamwambia kimwali kwamba wakati nasubiri muamala wangu basi tuagize kwa sababu yeye ana ile elfu 50 hela ikitumwa namrudishia.......kweli bana .........tukaanza kukata miti na kupanda miti huku nyama yetu pendwa ya kitimoto ikizidi kuteketea mezani, nikamshawishi tuchukue room akakubali, wakati huo kasahau na kuulizia kwenye ile namba aliyonipa kama imepokea elfu 80 au la.
Room akalipia yeye na nilivomuona alikuwa ana zaidi ya ile elfu 50 alonambia kuwa anayo, tukaendelea kupiga mtu kwa fujo, ili kumkoleza nikamtext jamaa yangu nikamwambia anitumie fasta laki moja, dakika chache tu muamala ukasoma 105,000/= nikamuonesha bi mdada akazidi kupagawa........ikawa kampa kampa tena mara akaachia mzigo, nilisimamia show kibabe maana nilikuwa nimepiga balimi mdogo mixing na jibapa........nikamuacha hoi, tukapumzika kidogo halafu nikamwambia twende nje tukaendelee kunywa, tukatoka nikamwambia aagize, nae akaagiza mi nikamwambia naenda kutoa ile hela tuendelee kupombeka.........hajaniona hadi leo na hiyo ilikuwa 2013
komando kinjekitile ngwale
Mkuuu baharia wa Pacific[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona visa vingi hapa ni vya mapenzi basi ngoja nami nitoe changu
Binti mmoja mkazi wa kino shombe fulani hivi alikuwa na trick yake moja kujifanya ana maruhani.. Anakunywea na kukulia vyako lakini kila ukitaka mchezo anakupanga au anakusubirisha.. Akishakufanyia hivyo kama mara nne ya tano atakubali ila mkifika gesti anapandisha maruhani yake majini mpaka mashetani... Kwa jinsi alivyo msanii itabidi tu utoke nduki umwachie na chumba
Kupata hizi habari nikasema subiri huyu nitamkomesha...
Tukafanya mitoko kama miwili hivi ananipanga... Mimi sikuwa na pressure nikamwambia ngono kwangu sio kipaumbele... Nyoko zake akahadaika... Mtoko wa tatu tukatoka mpaka gesti moja Mandela road...
Baada ya kula na kunywa tukazama ndani.... Kufika ndani akaona sina pressure naye.... Nilikuwa na kibegi changu nimeweka mambo yangu kiko mezani... Basi akaanza vituko... Mara akaanza kujinyoosha na kujinyonga kama nyoka huku anapiga miayo ya kujilazimisha...
Mara akasema anasikia joto, mara baridi halafu taratibu akaanza kupandisha madude yake
Kwenye kibegi changu kulikuwa na joka jeusi la plastic, kinyonga mfu, na mahirizi kibao.... Basi wakati anaendelea kupandisha Mimi nikachukua kibegi changu na kutoa zana niague mgonjwa.....
Kuliona lile joka nilisikia tu akisema mama nakufa... Halafu mashetani, majini na maruhani yote yakaingia mitini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mshtuko alioupata mpaka namaliza round ya kwanza ndio nikaona anaanza kutoa ushirikiano... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Jr[emoji769]
Jinga sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Na pesa akanipa ili joka lisimuume.. Maana kuumwa na majoka mawili kwa wakati mmoja si mchezo
Jr[emoji769]
Mkuuu baharia wa Pacific[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata salamu inauzwa!Mjini cha bure ni salamu tuu, ila hicho kisa cha kwanza ni kiboko ya yote duu 😛😛.
Mkuu unaielewa maana ya hiyo avatar ya 'jicho' ?Kama Avartar yako inaendana nawe kwa angalau asilimia 75% weka namba nami nitume nitapeliwe
Najua muhabeshi alikufa by relevant trick[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji88][emoji88][emoji88][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Ishawahi kumkuta rafiki angu aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nilicheka sanaa yani hatukuamini kama ndo tushaibiwa hivyoooAcha tuu huo mkasa sijawahi kumsimulia mtu zaidi ya yule shoga angu aliejionea na humu maana niliona dunia imenielemea yani na mm nimetapeliwa duu kijingaaaa
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona visa vingi hapa ni vya mapenzi basi ngoja nami nitoe changu
Binti mmoja mkazi wa kino shombe fulani hivi alikuwa na trick yake moja kujifanya ana maruhani.. Anakunywea na kukulia vyako lakini kila ukitaka mchezo anakupanga au anakusubirisha.. Akishakufanyia hivyo kama mara nne ya tano atakubali ila mkifika gesti anapandisha maruhani yake majini mpaka mashetani... Kwa jinsi alivyo msanii itabidi tu utoke nduki umwachie na chumba
Kupata hizi habari nikasema subiri huyu nitamkomesha...
Tukafanya mitoko kama miwili hivi ananipanga... Mimi sikuwa na pressure nikamwambia ngono kwangu sio kipaumbele... Nyoko zake akahadaika... Mtoko wa tatu tukatoka mpaka gesti moja Mandela road...
Baada ya kula na kunywa tukazama ndani.... Kufika ndani akaona sina pressure naye.... Nilikuwa na kibegi changu nimeweka mambo yangu kiko mezani... Basi akaanza vituko... Mara akaanza kujinyoosha na kujinyonga kama nyoka huku anapiga miayo ya kujilazimisha...
Mara akasema anasikia joto, mara baridi halafu taratibu akaanza kupandisha madude yake
Kwenye kibegi changu kulikuwa na joka jeusi la plastic, kinyonga mfu, na mahirizi kibao.... Basi wakati anaendelea kupandisha Mimi nikachukua kibegi changu na kutoa zana niague mgonjwa.....
Kuliona lile joka nilisikia tu akisema mama nakufa... Halafu mashetani, majini na maruhani yote yakaingia mitini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mshtuko alioupata mpaka namaliza round ya kwanza ndio nikaona anaanza kutoa ushirikiano... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Jr[emoji769]
Ilikuwa mwaka 2006 wakati huo blackberry ndio simu za bei ghali hasa,... Kwenye gari niko na wavimba macho watatu, dereva mimi, tunatokea Mwenge tunaenda Moro
Kufika kwenye foleni ya ubungo akaja kwenye dirisha la gari mtu kama kibaka akaichomoa ile simu mfukoni na kuwaonesha wavimba macho basi mmoja akafungua kioo na kuuliza shngapi? Kibaka akasema laki 2... Mchina akasema hamsini basi wakawa wanavutana bei kumbe yule tapeli alikuwa anataimu taa
Magari yaliporuhusiwa akajifanya shingo upande kakubali ile hamsini.... Mchina akatoa hela akakabidhiwa simu yake tukatembea.... Tunafika usawa wa tanesco nilisikia tu misonyo na na matusi ya kichina... Haikuwa simu bali kipande cha sabuni kwenye housing ya BB
Jr[emoji769]
Ni bado nachekaa tuu visa vy humu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]