Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kuna jamaa walikuwa wanatoka ujiji kucheki mpira usiku wanarudi pale Ahlulbayt, walipokua njiani walikuta watu wanalima usiku na hawaongeiNina rafk yangu alishawahi kushuhudia watu watatu waliokua wanatembea pamoja wakayeyuka tena hakushuhudia peke yake alishuhudia wakiwa na wana Kama wanne hiv kila mmoja akatoka nduki
Ulitokaje ndani?Kuna siku nilikiwa kibondo pale wilaya ya kgm sasa kuna guest nifikia (jina lina anza na miku...) sasa umefika ucku mda wa kulala nikavyua ngua zangu nikazitupa chini tu.... asbu kuamka nikakuta nguo zimeloanishwa maji yani ukizikamua zinatoa maji na hakuna mvua iliyonyesha wala maji waliyoingia ndan chumba kizima likuwa kikavu na chumba kilikukuwa sio self labda kusema maji yametoka chooni kuingia ndani na chumba nilifunga na funguo kwa ndani..!!!
Sitisahau lile tukio
Bahati nilikuwa na nguo nyingine kwenye begi ambalo nikuwa nimeweka kwenye kameza....asbh niwaashia moto wale wahudumu wa paleUlitokaje ndani?
Kule hawataki kabisa ujuaji Kabisa yaani. Kuwa tu mpole achana na ubabeKigoma ishi kama haupo,kuna jamaa mmoja alimzingua mwenyeji kwenye mambo hayo hayo ya mwanamke.Basi bwana siku jamaa katoka huko na baiskeri kapita chini ya mti tawi likakatika likampiga kiunoni,jamaa kapooza kuanzia kiunoni kushuka chini
Jamaa waliendea kuvulia usiku bila shaka....uliuliza wenyeji?Kuna siku nilikiwa kibondo pale wilaya ya kgm sasa kuna guest nifikia (jina lina anza na miku...) sasa umefika ucku mda wa kulala nikavyua ngua zangu nikazitupa chini tu.... asbu kuamka nikakuta nguo zimeloanishwa maji yani ukizikamua zinatoa maji na hakuna mvua iliyonyesha wala maji waliyoingia ndan chumba kizima likuwa kikavu na chumba kilikukuwa sio self labda kusema maji yametoka chooni kuingia ndani na chumba nilifunga na funguo kwa ndani..!!!
Sitisahau lile tukio
Mlikuwa wote wapangaji au yeye ni mwenye nyumba?Kumbe Zanzimba nao hawajambo,
Anyway Mimi mwenyewe niliwahi kupanga nyumba moja na mama kutoka kigoma aisee yule mama nimchawi Sana kama niuchawi basi anadegree au master kabisa kwani alikuwa na uwezo wa kujigeuza paka, kumuingia mtu mwilini mwake na kumuamlisha afanye atakayo yeye
Nakumbuka Sana Sana alikuwa anamtumia mjukuu wake kufanya uchawi pia alikuwa na uwezo wakufarakanisha yaani jambo dogo unakuta hamuelewani.
Kuna kipindi niliwahi muona anatoka gheto kwetu kupitia mlangoni ikiwa tulifunga na ilikuwa usiku, alinifanyia vitimbi Sana yule mama mpaka nahama pale Kuna vitu alivipandikiza kwenye Kitanda changu kwani nikawa nikilala Kuna hali Fulani ilikua inanizonga na kujikuta nakata tamaa ya kuishi wakati mwingine nakuwa na Hasira Sana na kuanza kuongea pekeangu, aisee sitasahau alichonifanyia yule mama wa kiha.
Tawi limempataje kiunoni baada ya kichwani?Kigoma ishi kama haupo,kuna jamaa mmoja alimzingua mwenyeji kwenye mambo hayo hayo ya mwanamke.Basi bwana siku jamaa katoka huko na baiskeri kapita chini ya mti tawi likakatika likampiga kiunoni,jamaa kapooza kuanzia kiunoni kushuka chini