Sababu JPM kasema ndo niamini? Story yake inatofauti gani na story ya kusadikika aliyoleta huyu bwana hapa. Sio JPM huyo huyo aliyewaambia hakuna corona na kugomea chanjo afu ikamuondoa yeye mwenyewe?
Kuhusu kaburi la Kiyeyeu Isimila Iringa ukweli ni huu: Survey ya kwanza ya kupitisha nyaya za umeme eneo hilo ilifanyika bila kuzingatia uwepo wa makaburi hayo ya familia ya Kiyeyeu. Nguzo zilipofikishwa hapo ikaonekana kuwa nyaya za umeme itabidi zipite juu ya makaburi hayo, hivyo yakaibuka masuala ya FIDIA KWA FAMILIA YA KIYEYEU NA KUHAMISHA YALE MAKABURI. Kwa kuwa mradi ulikwisha anza, wenye mradi wakaamua kuyakwepa makaburi hayo ili kutatua matatizo hayo mawili niliyoyataja. Hilo watu hawakuambiwa hali ambayo imeelekea kuleta tafsiri potofu kama inavyoenezwa!
Aidha 2010 TANROADS ilifukua na kulitupilia mbali huko na hamna kitu kilitokea. Link hii hapa:
SIKU chache baada ya kung’olewa kwa kaburi la kihistoria la Martine Kiyeyeu na mengine 21 ya ukoo huo, Kitongoji cha Isimila, Kijiji cha ...
richard-mwaikenda.blogspot.com
Tatizo lenu kila mnachoambiwa nyie mnaamini tu kama minyumbu hamtumii bongo zenu kabisa kufikiri, kichwa sio kwaajili ya kufuga nywele tu nyie midanganyika tumieni akili.
Mwisho, wasaidie wenzio kutaja jina la huyo Diwani ambalo hata mleta uzi mwenyewe halijui ila nyie midanganyika mnaamini nikutumie muamala 500k taslim TSH.
Mh
Mwigulu Nchemba kwa kiwango hiki cha ujinga wanachoonyesha hawa wadanganyika kwenye jukwaa la great thinkers natoa rai kuwe na tozo ya uzwazwa. Hawa watu ni empty set kabisa inabidi walipie ujinga wao.