Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Jamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa nahadithia hapa muwe mnanipa ushauri wa kumchagua. Wanaume hawa wote ni wabongo kasoro baadhi. Mpaka natamani kuhama mkoa mwingine kutafuta mwenza wa maisha ila sasa kazi hizi jamani doh

Mwanaume wa kwanza: Agel
Agel ni mkristo mzuri tu tulisoma wote chuo huko Dom ye akapata scholarship kwenda majuu akabaki huko,Agel hajawahi hata kuniongelesha tulivokuwa chuo ila tulikutana mtandaoni siku moja akaulizia niko vipi anaona mihangaiko yangu na anapenda sana navojishughukisha ( me nauza nguo na vitu vya ndani ) basi bwana ye anaishi majuu na ana cheo kweli kweli, kupewa cheo nchi za watu sio rahisi cv imeshiba, ni executive fortune 500 company huko yeye ni mambo ya first class na kuendeshwa na dereva, ana hadi chef wa kumpikia .

Katika majadiliano siku moja akaniambia me Chenko nakuelewa mwenzako. Nikashangaaa nikamuliza why? Akasema wewe mpambanaji nimekupenda sana na nimekuwa nakupenda toka chuo basi tu ulikua mkimya mnoo… basi mtoto nikaona yes nimepata fortune 500 husband.

Ila katika maongezi jamaa nikawa simuelew elewi, kwanza ni mkali mlalamisha usipopokea simu anaandika message ndefu barua, tuko masaa 10 nyuma sasa ni ngumu kweli mawasiliano me nimelala yeye ndo anaenda kazini, pili kila saa ananisifia uko vizuri sana kifedha nakuadmire sijawahi pata mwanamke alie kama mimi, kidogo sikupenda hii statement… halafu kila saa anataka nimwoneshe napokaaa nyumba nimpe tour eh jamani, (hata ye alitaka kunipa tour nyumba ake nkasema ya nini jamani siku ukiniliaka si ntapaona?), gari naloendesha anataka address ya nyumbani kwangu kabisa , halafu maongezi yake mhhh mara ananimiss anataka kuhug sijui hajaona mwanamke miezi 6 toka kaachwa dah hasa nikawa nakuwa uncomfortable.. (hatujaonana miaka 12) huko nikawa nakausha basi akanialika niende majuu tupate our first date angalau, mhh nikasita kidogo sababu sijawahi fika marekani na anaishi new york kabisa ila nikapiga moyo konde sababu ni mualiko wacha tuone , nikatafuta visa nikapata.. khaaa kaka si ananiambia nijilipie ticket? Ye atagharamia kila kitu cha malazi nikifika.

Huyu Agel sijamuelewa yani unanifuata wewe una hamu kuniona wewe unanitongoza wewe unanisumbua nije tuwe na first date wewe afu nijilipie ticket? Akaniambia im sure unaweza kulipia haina shida kwako, doh statement imenikata mbaya…Hela ninayo ila sina shida ya kwenda marekani saa hiii, ndo kwanza nina safari ya china mwezi ujao kuchukua mzigo. Kanidissapoint, nimwache au nimwambie tukutane dubai afu nimsikilizie?
Ila huu mwandiko ni wa kiume kabisa 😁
 
Acha leo watu wafurahie tu, sitaki kuondoa amani.
Kuna pdf 4 mpya na makaburi ya kufufua 8. Natafuta motel nzuri nikazindulie. Elewa neno motel
Oyoooooo.!! En fanya wepesi nilipate si unajua mi ndio yule dada ako from another mother kindakindaki 😹😹😹
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Bonge la chai aisee halafu unatumia muda mrefu kuandika chai.
Eti New York na Tanzania ni tofauti ya masaa 12. Tanzania iko mbele masaa 7 tu. Hivi huwa mnaanzaje anzaje kutengeneza hizi status fake?😂😂😂
Sawa nimekosea masaaa ila kikuu tupo time zone tofauti. Sasa nikudanganye wewe mtandaoni napata nini? Hunioni sikuoni hunijui sikujui 🤣🤣🤣 toa ushauri au chapa lapa
 
Jamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa nahadithia hapa muwe mnanipa ushauri wa kumchagua. Wanaume hawa wote ni wabongo kasoro baadhi. Mpaka natamani kuhama mkoa mwingine kutafuta mwenza wa maisha ila sasa kazi hizi jamani doh

Mwanaume wa kwanza: Agel
Agel ni mkristo mzuri tu tulisoma wote chuo huko Dom ye akapata scholarship kwenda majuu akabaki huko,Agel hajawahi hata kuniongelesha tulivokuwa chuo ila tulikutana mtandaoni siku moja akaulizia niko vipi anaona mihangaiko yangu na anapenda sana navojishughukisha ( me nauza nguo na vitu vya ndani ) basi bwana ye anaishi majuu na ana cheo kweli kweli, kupewa cheo nchi za watu sio rahisi cv imeshiba, ni executive fortune 500 company huko yeye ni mambo ya first class na kuendeshwa na dereva, ana hadi chef wa kumpikia .

Katika majadiliano siku moja akaniambia me Chenko nakuelewa mwenzako. Nikashangaaa nikamuliza why? Akasema wewe mpambanaji nimekupenda sana na nimekuwa nakupenda toka chuo basi tu ulikua mkimya mnoo… basi mtoto nikaona yes nimepata fortune 500 husband.

Ila katika maongezi jamaa nikawa simuelew elewi, kwanza ni mkali mlalamisha usipopokea simu anaandika message ndefu barua, tuko masaa 10 nyuma sasa ni ngumu kweli mawasiliano me nimelala yeye ndo anaenda kazini, pili kila saa ananisifia uko vizuri sana kifedha nakuadmire sijawahi pata mwanamke alie kama mimi, kidogo sikupenda hii statement… halafu kila saa anataka nimwoneshe napokaaa nyumba nimpe tour eh jamani, (hata ye alitaka kunipa tour nyumba ake nkasema ya nini jamani siku ukiniliaka si ntapaona?), gari naloendesha anataka address ya nyumbani kwangu kabisa , halafu maongezi yake mhhh mara ananimiss anataka kuhug sijui hajaona mwanamke miezi 6 toka kaachwa dah hasa nikawa nakuwa uncomfortable.. (hatujaonana miaka 12) huko nikawa nakausha basi akanialika niende majuu tupate our first date angalau, mhh nikasita kidogo sababu sijawahi fika marekani na anaishi new york kabisa ila nikapiga moyo konde sababu ni mualiko wacha tuone , nikatafuta visa nikapata.. khaaa kaka si ananiambia nijilipie ticket? Ye atagharamia kila kitu cha malazi nikifika.

Huyu Agel sijamuelewa yani unanifuata wewe una hamu kuniona wewe unanitongoza wewe unanisumbua nije tuwe na first date wewe afu nijilipie ticket? Akaniambia im sure unaweza kulipia haina shida kwako, doh statement imenikata mbaya…Hela ninayo ila sina shida ya kwenda marekani saa hiii, ndo kwanza nina safari ya china mwezi ujao kuchukua mzigo. Kanidissapoint, nimwache au nimwambie tukutane dubai afu nimsikilizie?
Alishawai kukupa sh ngapi Kwanza?? Au alishawai kukupa zawadi gani??
 
Sawa nimekosea masaaa ila kikuu tupo time zone tofauti. Sasa nikudanganye wewe mtandaoni napata nini? Hunioni sikuoni hunijui sikujui 🤣🤣🤣 toa ushauri au chapa lapa
Mtu mwenye hadhi na kipato kama unachokisema humu huwa hana maneno mengi. Halafu cha kukushauri kama amekuelewa akufuate utamfuataje Mwanamme?
Au huwa hausikiagi harusi za Wakristo wanasema Mwanamme atawaacha wazazi wake na atamfuata Mwanamke nao watakuwa mwili mmoja. Kama ni kweli una mpango wa kwenda acha usiwe cheap hivyo japo unauhitaji wa ndoa. Mkazie ili aone kuwa una msimamo
 
Kwanini nidanganye, nimeweka statement ya niko vizuri ili uweze kukaa katika viatu vyangu! Sababu sio uongo…. Sina mpango wa kupata mtu humu ila ninapenda kujua mawazo ya wengi kuhusu ‘dating’ ndani ya bongo.. Sijagoma kwenda sababu sina hela, nimegoma sababu sikupanga kwenda na sijaelewa kabisa hii situation huyo kaka alioniweka
Mkuu,
Do what you're good at, wewe unachoweza sana ni kutafuta pesa. Nadhani kwako mahusiano unaweza kuwa ume-score D au F kabisa.

Kingine, kwa level ya ukwasi wako, ni Me wachache wanawezana na wewe, sio rahisi kwa Me mwenye kipato cha kawaida kukumudu, both financially and emotionally.

Kingine, falsafa za mahusiano kimagharibi na kibongo ni tofauti. The man wants to see how serious you're, ndio maana akasema ujigharamie. Hata hivyo, huyo jamaa tayari ana zile swagger za wenzetu, kila mtu anawajibika kwenye mapenzi kwa 100%.

Kila la heri.
 
Okay inaweza kuwa chai, lakni hapo dizain kama anakupima isiwe kwamba yeye ndio anakutaka sana..so kama uko serious lipia nauli uende kama unamchukulia danga hayupo ivyo
 
Kama visa vyako havitakuwa na sehem ambayo Uliliwa kimasihara na Muhuni Tena akiacharaza kihunihuni mpaka ikatoka mvuke ..basi bado hujapata Mume.
 
Suala la dereva sio la kubishana jamani, suala kwanini uwe na hela na uwe mbahili , nimekosea wapi? Ila nimeona comment imesema sikutakiwa kusema nina mapene nahisi nilianza kukosea apo najifunza . So nashkuru nimejifunza atleast kitu kimoja leo
Binti! Si rahisi kuwa na dereva katika nchi za wenzetu. Huyo ni Tapeli anakutapeli tu
 
Bff aposto sio wa mchezo mchezo hili pepo lililonikumba ghafla sijui Nani kanitupia alooo 🤣🤣🤣
Mbona kaniweza
Kuna mtu jana kakazana na kukuita kuwa wewe ni Mchepuko wa Nick wa pili. Tupe ukweli
 
Si anasimamisha inasimama sasa tatizo liko wapi? Sio Nikki tu, mwambie hata baba yake na baba yako naweza kuwa mchepuko wake..! Una swali lingine? 😹😹😹

Nikki km una id yako humu unaona huu upuuzi njoo tufanye kweli aisee Sweet Mangi 😻😻 wala sina gharama utanunua kuku tutapika supu ili tukamilishe zoezi nimechoka kuzushiwa ujue 🤣🤣🤣
 
Si anasimamisha inasimama sasa tatizo liko wapi? Sio Nikki tu, mwambie hata baba yake na baba yako naweza kuwa mchepuko wake..! Una swali lingine? [emoji81][emoji81][emoji81]

Nikki km una id yako humu unaona huu upuuzi njoo tufanye kweli aisee Sweet Mangi [emoji76][emoji76] wala sina gharama utanunua kuku tutapika supu ili tukamilishe zoezi nimechoka kuzushiwa ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakugawaaaa bureeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣 kuna watu wanapenda kunichokoza niwachambe waende kwa modes kusema navuruga amani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna watu wanapenda kunichokoza niwachambe waende kwa modes kusema navuruga amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeee.
 
Back
Top Bottom