Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Ndo uanaume shemeji 😅😅😅Imeniuma !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo uanaume shemeji 😅😅😅Imeniuma !
Kwanza hakutakiwa ajue kwamba una biasharaHajawahi tuma chochote na sijawahi muomba. So suala la kuitwa na kujitolea nauli limenikwaza sana, hujawahi gharamia chochote mkutano wa kwanza hutaki kugharamia? Kwasababu nina pesa nitumie zangu? Na ebo si ni watu wazima hatuendi kuosha viazi uko
Kama amekaa sana US itabidi umuelewe tuu, nauli unajilipia it’s a cultural thing, ila hana chef au dereva, kwa New York hiyo ni lifestyle of billionaires sio day worker na hata vice president of Fortune 500 hawezi, kumlipa dereva New York ni zaidi ya mshahara wa SamiaYes asante kwa hii naona kabisa kuna shida somewhere why nigharamie safari unayoitaka wewe?
Umekula pesa ngapi hadi sasa?Ndo uanaume shemeji 😅😅😅
Vijana mnaita utamu.Kikojoleo ndo nini shemeji 😀
Anao! Nimemwoma nao! Na mara nyingi kanitumia vizawadi ni dereva wake ndie ananipigia kuniomba address,zaidi ya mara moja.Kama amekaa sana US itabidi umuelewe tuu, nauli unajilipia it’s a cultural thing, ila hana chef au dereva, kwa New York hiyo ni lifestyle of billionaires sio day worker na hata vice president of Fortune 500 hawezi, kumlipa dereva New York ni zaidi ya mshahara wa Samia
Bitter. So bitterWhats the tea
US tunaendesha magari yetu wenyewe na New York hata mamilionea wanatumia Trains, kama ana driver angenunua ticket cultural thing isingekuwa issue, hana kituAnao! Nimemwoma nao! Na mara nyingi kanitumia vizawadi ni dereva wake ndie ananipigia kuniomba address,zaidi ya mara moja.
🤣🤣🤣 Nini kimetokea?
Humu Jf yupo hadi Kikwete na watoto wake sembuse mimi mwenye pesa za chupi ebu tulia ukoMkogo hivi wote, watu wa hovyo Kabisa, Hakuna mtu financial stable ana kuja kupiga kelele huku Jamii forum na kutangaza ujinga Kama huu, mtakutana na watu mnaofanana nao!
Yanga Bingwa - Hu ndo mfano wa maneno ya mtu Mwenye pesa!
Suala la dereva sio la kubishana jamani, suala kwanini uwe na hela na uwe mbahili , nimekosea wapi? Ila nimeona comment imesema sikutakiwa kusema nina mapene nahisi nilianza kukosea apo najifunza . So nashkuru nimejifunza atleast kitu kimoja leoUS tunaendesha magari yetu wenyewe na New York hata mamilionea wanatumia Trains, kama ana driver angenunua ticket cultural thing isingekuwa issue, hana kitu
Mimi nakusihi! Chonde chonde!! usiweke mkeka wa Ma boyfriend wako wote humu jukwaani! Jifanye tu aliye kuaproach alikuwa ni huyo huyo Agel. Ukiweka idadi ya Ma boyfriends wote hapa, haki ya nani watu wa kataa ndoa watakuja kutukatisha kabisa tamaa sisi waoaji. 😩Jamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa nahadithia hapa muwe mnanipa ushauri wa kumchagua. Wanaume hawa wote ni wabongo kasoro baadhi. Mpaka natamani kuhama mkoa mwingine kutafuta mwenza wa maisha ila sasa kazi hizi jamani doh
Mwanaume wa kwanza: Agel
Agel ni mkristo mzuri tu tulisoma wote chuo huko Dom ye akapata scholarship kwenda majuu akabaki huko,Agel hajawahi hata kuniongelesha tulivokuwa chuo ila tulikutana mtandaoni siku moja akaulizia niko vipi anaona mihangaiko yangu na anapenda sana navojishughukisha ( me nauza nguo na vitu vya ndani ) basi bwana ye anaishi majuu na ana cheo kweli kweli, kupewa cheo nchi za watu sio rahisi cv imeshiba, ni executive fortune 500 company huko yeye ni mambo ya first class na kuendeshwa na dereva, ana hadi chef wa kumpikia .
Katika majadiliano siku moja akaniambia me Chenko nakuelewa mwenzako. Nikashangaaa nikamuliza why? Akasema wewe mpambanaji nimekupenda sana na nimekuwa nakupenda toka chuo basi tu ulikua mkimya mnoo… basi mtoto nikaona yes nimepata fortune 500 husband.
Ila katika maongezi jamaa nikawa simuelew elewi, kwanza ni mkali mlalamisha usipopokea simu anaandika message ndefu barua, tuko masaa 10 nyuma sasa ni ngumu kweli mawasiliano me nimelala yeye ndo anaenda kazini, pili kila saa ananisifia uko vizuri sana kifedha nakuadmire sijawahi pata mwanamke alie kama mimi, kidogo sikupenda hii statement… halafu kila saa anataka nimwoneshe napokaaa nyumba nimpe tour eh jamani, (hata ye alitaka kunipa tour nyumba ake nkasema ya nini jamani siku ukiniliaka si ntapaona?), gari naloendesha anataka address ya nyumbani kwangu kabisa , halafu maongezi yake mhhh mara ananimiss anataka kuhug sijui hajaona mwanamke miezi 6 toka kaachwa dah hasa nikawa nakuwa uncomfortable.. (hatujaonana miaka 12) huko nikawa nakausha basi akanialika niende majuu tupate our first date angalau, mhh nikasita kidogo sababu sijawahi fika marekani na anaishi new york kabisa ila nikapiga moyo konde sababu ni mualiko wacha tuone , nikatafuta visa nikapata.. khaaa kaka si ananiambia nijilipie ticket? Ye atagharamia kila kitu cha malazi nikifika.
Huyu Agel sijamuelewa yani unanifuata wewe una hamu kuniona wewe unanitongoza wewe unanisumbua nije tuwe na first date wewe afu nijilipie ticket? Akaniambia im sure unaweza kulipia haina shida kwako, doh statement imenikata mbaya…Hela ninayo ila sina shida ya kwenda marekani saa hiii, ndo kwanza nina safari ya china mwezi ujao kuchukua mzigo. Kanidissapoint, nimwache au nimwambie tukutane dubai afu nimsikilizie?
Kwanini wewe unadhani ana shida na wewe? Kwani wewe huna shida nae? Mimi nadhani jamaa yuko sahihi anapima je wewe uko tayari ku invest kwenye hilo penzi.. kwa kujitolea ticket tu? ila wewe unaona yeye ana shida.. huyu achana nae atakuumbua huyo.Akili ya kimagharibi unamwita mwanamke kwa gharama yake? Na we ndo una shida nae?
MhKwanini wewe unadhani ana shida na wewe? Kwani wewe huna shida nae? Mimi nadhani jamaa yuko sahihi anapima je wewe uko tayari ku invest kwenye hilo penzi.. kwa kujitolea ticket tu? ila wewe unaona yeye ana shida.. huyu achana nae atakuumbua akigundua tabia zako nyingine za kinyonyaji.
Kwenye profile picture ni wewe? Eeeh mtoto uko vizuri 😂😁😋Nitafuata ushauri wako nije kukupa mrejesho. Nimeuookea 🙏🏽
Hapa katuchota eti 🤣Mambo sio rahisi kama unavyoandika andika hapo
Ni mwanaume dhaifu tu ataelalamikia pesa ya mwanamke. Wewe ndo unamtaka aje kukuona. Mlipie. Asipokuja ye hajapoteza kitu. Unabaki tu ndani na sabuni au vipi.🤣Kwanini wewe unadhani ana shida na wewe? Kwani wewe huna shida nae? Mimi nadhani jamaa yuko sahihi anapima je wewe uko tayari ku invest kwenye hilo penzi.. kwa kujitolea ticket tu? ila wewe unaona yeye ana shida.. huyu achana nae atakuumbua huyo.