Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Una nia nzuri ila naona hapa hutapata ushauri! Nijibu pm ntakua nakushauri poa tu. Wengi hawajawahi kuonana na watu kama wewe
 
Mi Nasubiri visa vifuatavyo nione kama katika hizo harakati kama kulikuwa na zoezi la kuonja mbususu na walibarikiwa wangapi ila nahisi huyo wa Marekani ubahili wake ulimponza.
 
Masela ehhh mnaongea bure… tumeita mademu sana gheto kwa kutuma nauli. Ndo umwite mtu ulaya umle kwa nauli yake? Haipo iyooo. Mnamsema binti bure
 
Tutafutane oct tarehe za 20's huko kuna vitu tutazungumza huko.
Hapa Njombe baridi kali ngoja niipooze
 
Attachments

  • 1718564875177.jpeg.jpg
    1718564875177.jpeg.jpg
    10.7 KB · Views: 5
Nguo na nguo za ndani, Chupi china ni senti 50 hadi senti 20 za kimarekani, huku tunauza kwa elfu 15,000 moja hadi elfu 5. Ni biashara nzuri ijaribu. Ukinunua nusu contena hukosi million 80- 50 hizo ni chupi elfu 10,000 tu. Wewe endelea kunicheka
Cc; Lamomy
 
Bestie, mwanaume ambaye hapendi kutumia gharama hapana atakusumbua huko mbele...utasikia Lipa ada ya Junior najua hela unayo 🤣

Atume hela ya ndege tuile kwanza
Halafu atume nyingine ndo uende 🤣
 
Bestie, mwanaume ambaye hapendi kutumia gharama hapana atakusumbua huko mbele...utasikia Lipa ada ya Junior najua hela unayo 🤣

Atume hela ya ndege tuile kwanza
Halafu atume nyingine ndo uende 🤣
Shooo hili nalo neno nimepokea mikono miwili🤣
 
Anakutumiaga hata hela world remit au msumbufu tu na ma video call yake
Hajawahi tuma chochote na sijawahi muomba. So suala la kuitwa na kujitolea nauli limenikwaza sana, hujawahi gharamia chochote mkutano wa kwanza hutaki kugharamia? Kwasababu nina pesa nitumie zangu? Na ebo si ni watu wazima hatuendi kuosha viazi uko
 
Hatakiwi kuombwa ajiongeze tu kwamba huyu ni mwanamke wangu Ana mahitaji yake
 
Back
Top Bottom