Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Tunaweza kusema hii ni kama Miujiza iliyotokea kwa Vishwash Kumar Ramesh (40) raia wa Uingereza ambaye yeye pekee ndiye ambaye amenusurika kifo kwa kutoka akiwa mzima kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo ikielekea uwanja wa Kimataifa wa London Gatwick Airport.
Soma Pia: Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa
Hii ni video inayomuonesha abiria huyo akiwa na majeraha yanayoonekana akitoka nje ya eneo la ajali.