February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Kumbe mungu nayeye anapenda Kumar
Makenge wanaabudu mtoto wa Mariam sikujua Mungu anaweza kuzaliwa na Binadamu hahaha hata kuku hawezi kuamini hayo. Nikiwambia hao ni makenge ni kweli kabisa si utani. Mungu azaliwe na binadamu hivi hata wanamjua kweli Mungu hawa, hata kondoo hawezi kukubaliana na wao eti Mariam kamzaa Mungu hahahaha 😆 😂Mamaae, nduku we
Embu onyesha mfano wa tenga mkuu
Nioneshe babu yako wa kizazi cha tano nyuma aliyevaa kanzu .................nikuoneshe muislam muuza kitimoto lakini aonji ile nyamaMimi siabudu jiwe dogo wala sivai dera na vaa kanzu kuna tofauti ya dera na kanzu hahaha.
Wakristo nyie mawe mna salaa special ya kuyabudu au uwongo.
Mimi namini Mungu wa Ibrahim, Yakobo, Ismail, Ishaq, Mussa, Yesu na Muhammad. Ambaye hazai, wala hazaliwi wala hakuna wakufanana naye.
Wewe unamini Mtoto wa Mariam ambaye ni binadamu huo ndio ukenge wenyewe.
Nyie magaidi mbona mnaabudu jiwe linaitwa kahabaHuyu ataenda kunywa mkojo wa ngo'mbe walivyo wajinga hawa ni makenge kama wakristo. Wao wanabudu ngo'mbe na mkristo binadamu.
Sasa mbona Lina matundu hapo maji yanajaaje
Na kama Kumar hamfikishi mke wake kileleni bc kazi anayo 😂Au ukute mke anamwambia si ungekufa tu 😂😂
Nilicheka sanaEmbu onyesha mfano wa tenga mkuu
Ndo nasema siku yako ya bahati ikifika kutoka kwa Sir God, atafanya lisilowezekana kuwezekana.Sasa mbona Lina matundu hapo maji yanajaaje
Hawa viumbe kwa helaNa kama Kumar hamfikishi mke wake kileleni bc kazi anayo 😂
Wachana ni mababu wewe babu yako alivaa ngozi ya ngo'mbe wewe mbona huvai. Kanzu ni vazi safi sana utafananisha na madera wanao vaa wachungaji ya pink pink hata mavazi ya maaskofu wenu yako kishoga shoga mwanaume uvae rangi za pink hahaha.Nioneshe babu yako wa kizazi cha tano nyuma aliyevaa kanzu .................nikuoneshe muislam muuza kitimoto lakini aonji ile nyama
Sawa baby girl umeisha kula cornflakesMamaae, nduku we
Mungu ni mmoja tu. Hakuna ngo'mbe au mtoto wa MariamInawezekana huyo mungu wake unayemuita ng'ombe ndiye aliyemuokoa.
Ww unamuabudu nani?
Na ukitaka jamaa amuabudu Nani?
Hy n kwako wwMungu ni mmoja tu. Hakuna ngo'mbe au mtoto wa Mariam
Mungu wa Ibrahim, Ismail, Ishaq, Yakobo, Mussa, Yesu na Muhammad ndio Mungu pekee.
Sawa as long namini Mungu ni mmoja tu ni tosha kabisa. Wewe amini ngo'mbe au mtoto wa MariamHy n kwako ww
Duh tupe story kidogo jamani 🥲Nilishapata ajali ya basi pale dararani mto wami na air msae 1995 wakafariki zaidi ya abiria 38 ndani ya basi.
Sitakuja kusahau
Inasikitisha sanaNilishapata ajali ya basi pale dararani mto wami na air msae 1995 wakafariki zaidi ya abiria 38 ndani ya basi.
Sitakuja kusahau
Wala haitaji kufungia kesi atalipwa tu. Hiyo ipo kisheria na kiwango kinajulikana wazi.Ana utajiri wake akifungua kesi kudai kampuni