Vishwash Kumar raia wa Uingereza ndiye abira pekee aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo

Vishwash Kumar raia wa Uingereza ndiye abira pekee aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo

Jina la India uraia England
Bongo rais kizimkazi .... Mateso Tanganyika
 
Huyu ataenda kunywa mkojo wa ngo'mbe walivyo wajinga hawa ni makenge kama wakristo. Wao wanabudu ngo'mbe na mkristo binadamu.
Inawezekana huyo mungu wake unayemuita ng'ombe ndiye aliyemuokoa.

Ww unamuabudu nani?
Na ukitaka jamaa amuabudu Nani?
 
Huyu ataenda kunywa mkojo wa ngo'mbe walivyo wajinga hawa ni makenge kama wakristo. Wao wanabudu ngo'mbe na mkristo binadamu.
Wewe jamaa wa hovyo sana, mpumbavu na mdini wa kijinga kabisa kuwahi kuwepo duniani, ingekuwa waarabu mabwana zako ndio mtu anaandika humu haya uliyooandika malala miko na matusi angetukanwa humu mpaka basi ila kwa sababu sio wa imani yako unaropoka tu, nguruwe mkubwa wewe!!
 
Mungu na akutane na wewe hapo ulipo. Yaani wakristo wanamwabudu mwanadamu.

"Wafilipi 2:6-11
"ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; 7bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; 8tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. 9Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; 10ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Uzaliwe na binadamu afu uwe Mungu hahaha labda uwe chizi tu ndio utamini binadamu anazaa Mungu.
 
Tunaweza kusema hii ni kama Miujiza iliyotokea kwa Vishwash Kumar Ramesh (40) raia wa Uingereza ambaye yeye pekee ndiye ambaye amenusurika kifo kwa kutoka akiwa mzima kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo ikielekea uwanja wa Kimataifa wa London Gatwick Airport.

Soma Pia: Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa

Hii ni video inayomuonesha abiria huyo akiwa na majeraha yanayoonekana akitoka nje ya eneo la ajali.

Apewe Tuzo ya Nobel.
 
Wewe jamaa wa hovyo sana, mpumbavu na mdini wa kijinga kabisa kuwahi kuwepo duniani, ingekuwa waarabu mabwana zako ndio mtu anaandika humu haya uliyooandika malala miko na matusi angetukanwa humu mpaka basi ila kwa sababu sio wa imani yako unaropoka tu, nguruwe mkubwa wewe!!
Sawa Kenge ni kenge tu ndio anamini binadamu anazaa Mungu 😂

Mimi nacho ongea ni ukweli Yesu si kazaliwa na Mariam au uwongo.
 
Mwehu mkubwa muabudu jiwe jeusi...........kazi kuvaa madera tu
Mimi siabudu jiwe dogo wala sivai dera na vaa kanzu kuna tofauti ya dera na kanzu hahaha.

Wakristo nyie mawe mna salaa special ya kuyabudu au uwongo.

Mimi namini Mungu wa Ibrahim, Yakobo, Ismail, Ishaq, Mussa, Yesu na Muhammad. Ambaye hazai, wala hazaliwi wala hakuna wakufanana naye.

Wewe unamini Mtoto wa Mariam ambaye ni binadamu huo ndio ukenge wenyewe.
 
Back
Top Bottom