Vishwash Kumar raia wa Uingereza ndiye abira pekee aliyenusurika kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo

Tunaweza kusema hii ni kama Miujiza iliyotokea kwa Vishwash Kumar Ramesh (40) raia wa Uingereza ambaye yeye pekee ndiye ambaye amenusurika kifo kwa kutoka akiwa mzima kwenye ajali ya ndege ya Air India iliyodondoka leo ikielekea uwanja wa Kimataifa wa London Gatwick Airport.

Soma Pia: Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa

Hii ni video inayomuonesha abiria huyo akiwa na majeraha yanayoonekana akitoka nje ya eneo la ajali.

Mizimu yake bado inamuhitaji
 
WORSE AIR DISASTER.
WORSE AIR ACCIDENT

Miracles still happened and am sharing what looks like short of a miracle.
Call it a miracle in the Ashes! The Sole Survivor of Air India Flight AI171

Vishwash Kumar Ramesh, a 40-year-old British-Indian man seated in 11A, survived.

In a disaster that claimed 241 lives, his survival is nothing short of a miracle — a quiet testament to fate, resilience, and the mystery of why some are spared when so many are lost.
"One life spared... among hundreds lost. A heartbeat that echoes through the silence of grief."
Such a live need to be committed to God,
who alone can deliver a man from the mouth of Sheol.
👇😭😭👇
1749787085878.jpg
 
Kabla ya hapo kuna kuchunguzwa ikiwa huenda yeye ndiye aliyesababisha ajali hiyo!
Anyway !
Huko nyuma nimewahi kuwa mpenzi msomaji wa hadithi za upelelezi.
Nimekumbuka katika riwaya ya KIKOMO iliyoandikwa na A.E Musiba kulitokea ajali ya boti iliyokuwa imembeba mgeni wa Willy Gamba "Makungu Majura" ndani ya ziwa Viktoria iliyokuwa ikitokea Nansio Ukerewe kuja Mwanza .Katika ajali hiyo alipona msichana mmoja tu alitwae Tausi ambaye alikuja gundulika baadae kuwa anafanya kazi na genge la wahalifu waliohusika na ulipuaji wa boti hiyo.
Kwahiyo huyo muhindi aliyenusurika kwenye ndege vyombo vya uchunguzi sidhani kama vitaacha kumtilia mashaka sababu za kunusurika peke yake endapo itaonekana kuwa saa nyingine ajali ya ndege hiyo imetengenezwa.
Get yourself educated Kwanza ndio ujue kutoa comment kwenye mambo mazito kama aviation. Taarifa inasema ndege imeanguka kwa sababu za kiufundi....wewe unaleta conspiracy za kijinga.
The man has survived the crash na hiyo ndiyo taarifa rasmi....hayo mengine peleka nyumbani kwenu mkapike mle mshibe
 
SHIKAMOO mtaalamu!
Taarifa ya jana na leo!
Naamini bado kuna uchunguzi unaoendelea lakini taarifa ya jana na leo hatuwezi kusema kwamba hakuna uchunguzi umefungwa!
Hata tukibaki hapo hapo kwenye sababu za kiufundi maana yake ni nini?!
Gari linaweza pata ajali baada ya kufeli breki , tunasema ni sababu za kiufundi , lakini kwa sababu hizihizi haziondoi uwezekano wa gari kuwa limehujumiwa kwa kuharibiwa breki zake!.
Kuwa kitu hukijui haimaanishi kuwa hakipo saa nyingine ni bora kunyamanza kuliko kutangaza Ushamba wako kwa mambo ambayo huna ujuzi nayo!
 
Ushamba unao wewe kujifanya kila kitu unakiwaza nje ya box kumbe upuuzi mtupu.
 
Uzaliwe na binadamu afu uwe Mungu hahaha labda uwe chizi tu ndio utamini binadamu anazaa Mungu.
Haya ni mambo ya kiroho zaidi ndugu yangu na unahitaji kufunuliwa ili uyajue. wengi walikuwa kama wewe na walipofunguliwa macho na kumwona Yesu kwenye utukufu wake walimwamini na kufanyika watoto wa Mungu. Maombi yangu kwako ni Mungu mwenyewe akufunulie kabla ujaondoka katika ulimwengu huu. Haya mambo tumeyashuhudia na ni ya kweli ndugu sijui nikuelezeje uweze kumwamni huyu Yesu ambaye ni mwokozi wa ulimwengu wote kwa wale watakaomwamini .
 
Ushamba unao wewe kujifanya kila kitu unakiwaza nje ya box kumbe upuuzi mtupu.
Jamaa unazingua kipumbavu hivi.
Tukiangalia mlikoanzia na mnakoelekea tunaona kuwa wewe ni mpuuzi zaidi lakini pia umechanganya Ushamba na ulimbukeni pamoja.
Jamaa hajasema kuwa 100% huyo muhindi kusababisha ajali ya ndege.
Alichofanya ni kutoa maoni juu ya uwezekano wa kuwa ajali hiyo isiwe ya bahati mbaya.
Sasa wewe jamaa ni nani humu jf kuzuia mtu kutoa maoni yake?
Halafu unapomwambia mwenzio kwamba awe educated unaweza kutueleza wewe hapo una degree ngapi ili tujue wewe ndie msomi humu jukwaani kiasi watu wengine walitoa maoni yao uwaambie waende shule?
Acha ulimbukeni jamaa.
 
Safi kabisa ,wafe wengine mlitaka muendelee kuishi mpaka lini.
 
Jamaa unazingua kipumbavu hivi.
Tukiangalia mlikoanzia na mnakoelekea tunaona kuwa wewe ni mpuuzi zaidi lakini pia umechanganya Ushamba na ulimbukeni pamoja.
Jamaa hajasema kuwa 100% huyo muhindi kusababisha ajali ya ndege.
Alichofanya ni kutoa maoni juu ya uwezekano wa kuwa ajali hiyo isiwe ya bahati mbaya.
Sasa wewe jamaa ni nani humu jf kuzuia mtu kutoa maoni yake?
Halafu unapomwambia mwenzio kwamba awe educated unaweza kutueleza wewe hapo una degree ngapi ili tujue wewe ndie msomi humu jukwaani kiasi watu wengine walitoa maoni yao uwaambie waende shule?
Acha ulimbukeni jamaa.
Asante mkuu kwa kunisaidia!
Huyo supu ya kokoto ananitaka Mimi nikawe educated lakini kwa Ushamba na ulimbukeni alionao nina uhakika hana uwezo wa kufafanua kusoma ni nini na mwisho wa kusoma yatakiwa mtu awe na level gani ndio aitwe kasoma na kama anajua mimi nimeishia level gani ?!
Supu ya kokoto tukimtaka alete cv zake hapa jukwaani halafu atueleze kuwa hapo alipoishia ndio mwisho wa kusoma anaweza?
Ubabaishaji tu wa kutuonyesha usomi bandia.
 
Jamaa unazingua kipumbavu hivi.
Tukiangalia mlikoanzia na mnakoelekea tunaona kuwa wewe ni mpuuzi zaidi lakini pia umechanganya Ushamba na ulimbukeni pamoja.
Jamaa hajasema kuwa 100% huyo muhindi kusababisha ajali ya ndege.
Alichofanya ni kutoa maoni juu ya uwezekano wa kuwa ajali hiyo isiwe ya bahati mbaya.
Sasa wewe jamaa ni nani humu jf kuzuia mtu kutoa maoni yake?
Halafu unapomwambia mwenzio kwamba awe educated unaweza kutueleza wewe hapo una degree ngapi ili tujue wewe ndie msomi humu jukwaani kiasi watu wengine walitoa maoni yao uwaambie waende shule?
Acha ulimbukeni jamaa.
Kuna watu wanachanganya kati ya kusoma na kwenda shule.
Sio kila aliyeenda shule kuwa ni msomi na siyo kila ambaye hakwenda shule kuwa hajasoma .
Elimu ilikuwepo kabla shule hazijajengwa kwa sababu tutakuwa wapumbavu wa Karne tukisema kuwa shule ya kwanza kujengwa hapa duniani ilijengwa na watu wajingawajinga ambao hawana elimu.
Ni wazi kwamba watu wa mwanzo kujenga shule walikuwa watu wenye elimu japo hawakwenda shule lakini waliweza kuplan ujenzi wa shule na pia kutengeneza mifumo na miundo ya taaluma ya kisasa ambayo inaendelea kuboreshwa kila siku ili izidi kwenda na mazingira ya kisasa.
 
Get yourself educated Kwanza ndio ujue kutoa comment kwenye mambo mazito kama aviation. Taarifa inasema ndege imeanguka kwa sababu za kiufundi....wewe unaleta conspiracy za kijinga.
The man has survived the crash na hiyo ndiyo taarifa rasmi....hayo mengine peleka nyumbani kwenu mkapike mle mshibe
Bwana supu ya kokoto umeulizwa wewe unayemwambia mwenzio get yourself educated kabla ya kutoa comment wewe elimu yako ni kiasi gani?
Na je unaweza kuonyesha cv zako hapa ili tuwe na uhakika kuwa wewe ni educated person na sio mbabaishaji kama wababishaji wengine?
Pia wewe humu jf una nafasi gani kiasi cha kuwazuia watu kutoa maoni yao na kuonyesha mtazamo wao juu ya vile wanavyoona mambo mbalimbali yanayotokea duniani?
Supu ya kokoto wewe ni nani hadi kutaka watu wakitoa comment basi comment zao ziwe sawa na mtazamo wako. Wewe ni nani?
 
Ushamba unao wewe kujifanya kila kitu unakiwaza nje ya box kumbe upuuzi mtupu.
Aisee wewe una tabia kama jamaa fulani wa kule kanda ya ziwa ambaye akienda English course miezi mitatu akirudi atatamba Kijiji kizima kuwa yeye ndiye msomi wa dunia
( nshomile )
Saa nyingine wewe pia unatokea huko huko kwa akina tibaijuka na tibaigana kwakuwa ndio watu ambao wakifanikiwa kidogo tu huwadharau watu wengine na kuona hawana maana.
Jamaa chifu mkuu alichofanya ni kutoa maoni yake kuhusu ajali ya ndege sasa umeulizwa wewe ni nani kuzuia mtu kutoa maoni yake na akicomment tafauti na unavyoona wewe uanze kumwita mpuuzi na kwamba sio educated.
Ndugu yangu hii dunia ni kubwa sana na mambo unayaoyajua wewe ni kiduchu mno.
Kama wewe unajiamini usomi wako weka cv zako hapa tuone Umesoma nini halafu kuna maswali tutakuuliza kuhusu taaluma yako tuone kama hutaharisha jukwaani na kuishia kutukana.
 
Mimi ni wa kanda ya ziwa na shule nimeenda ninachojaribu kuwaza ni kitu ambacho chances zake kutokea Ni almost impossible, imagine ndege itoke huko juu ianguke wafe wote kasoro aliyeihujumu? Yaani unataka kukubali argument na doubt kama hizo... Kwakuwa sio ajali ya Kwanza kutokea wekeni mifano hapa kuwa iliwahi kutokea kama mnavyowaza ili tuone.
Usisaidiwe kuwaza Mzee be independent.
 
Bwana supu ya kokoto umeulizwa wewe unayemwambia mwenzio get yourself educated kabla ya kutoa comment wewe elimu yako ni kiasi gani?
Na je unaweza kuonyesha cv zako hapa ili tuwe na uhakika kuwa wewe ni educated person na sio mbabaishaji kama wababishaji wengine?
Pia wewe humu jf una nafasi gani kiasi cha kuwazuia watu kutoa maoni yao na kuonyesha mtazamo wao juu ya vile wanavyoona mambo mbalimbali yanayotokea duniani?
Supu ya kokoto wewe ni nani hadi kutaka watu wakitoa comment basi comment zao ziwe sawa na mtazamo wako. Wewe ni nani?
Unataka CV kujiridhisha hoja ndogo kama hiyo?
Mbona mkiambiwa kuhusu elimu huwa mnacharuka Sana .
 
Supu ya kokoto elimu unayoizungumzia ni hadi darasa la ngapi bwana nshomile na kwanini huweki cv zako ili tujue mwenzetu una elimu ipi ambayo wenzio hatuna?!
Na mimi kama walivyosema wachangiaji wengine sikusema 100% ajali ya ndege hiyo ni hujuma!
Ni maoni yangu tu juu ya ajali hiyo kwamba yaweza ikawa ya kutengeneza na huyo manusura pia ni maoni yangu kuwa aweza kuwa sehemu ya timu iliyohusika na ajali hiyo!
Sasa wewe una mamlaka gani kunipangia cha kucomment kama sio ulimbukeni wako na Ushamba wa kupenda kuonekana ( NSHOMILE ) wakati huna lolote ulijualo ambalo wengine hawajui.
Tuanze na cv yako kwanza ili tujue tunajadulinna mtu wa aina gani!.
 
Back
Top Bottom