Ile siku ya uhuru walituonyesha Magari ya zimamoto yanayotengenezwa pale Nyumbu,wayapeleke huko zimamoto sasa.Hapana ni uzembe wa kutokuwa na vifaa vya kutosha kukabili moto hasa maeneo kama hayo. Wakajifunze Mtwara kwenye visima vya gesi kule.
Serikali iwekeze kwenye jeshi la zima moto. Tulishaandika humu kuwa ni jeshi lililosahaulika. Jamaa wapo vizuri theory,shida vitendea kazi.
Kuna sehemu haitimizi wajibu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa ya ziada ajue kuwa hakuna kisichoungua ila vitu hutofautina kwa kiwango cha joto husika ili kiungue.1) tunasema tank limeshika moto nakama matanki yana Code namba mf tank A tank B... Tunasema tank C limeshika moto linaungua japo chemically yanaungua mafuta professionally tunasema tank linaungua, ikija zimamoto atauliza tank gani linaungua unasema Tank C kwaakiri zako na wewe utamjibu “yanaungua mafuta sio tank”
Hayo ni matumuzi ya lugha tu
2)Aliyekwambia chuma akiungui ni nani njoo hapa IRON STILL mbagala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana nao si binadamu tu Kama wewe kama ilivyokuwa wewe hujui nao pia hivyo hivyoSasa mzee unataka kusema moderators ni wajinga hadi wameacha title ya "visima vya lake oil"?
.
Au wewe ukisikia kisima cha mafuta moja kwa mbili unakiona kiko kama kisima cha maji?
Kwahiyo huku kwetu Yale masimtank tuyaite visima vya maji [emoji1][emoji2][emoji3]Sasa mzee unataka kusema moderators ni wajinga hadi wameacha title ya "visima vya lake oil"?
.
Au wewe ukisikia kisima cha mafuta moja kwa mbili unakiona kiko kama kisima cha maji?
Kwani yako underground?Kwahiyo huku kwetu Yale masimtank tuyaite visima vya maji [emoji1][emoji2][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayejua umefanya nini ili tuamini hakuna visima pale?Inawezekana nao si binadamu tu Kama wewe kama ilivyokuwa wewe hujui nao pia hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah mkuu umezingua sasa wachote moto?
Hawana vifaa vya kutosha kuzima moto wa mafuta. Tusubiri ndege zikileta faida tuitumie kununua hivyo vifaa.