mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ile siku ya uhuru walituonyesha Magari ya zimamoto yanayotengenezwa pale Nyumbu,wayapeleke huko zimamoto sasa.Hapana ni uzembe wa kutokuwa na vifaa vya kutosha kukabili moto hasa maeneo kama hayo. Wakajifunze Mtwara kwenye visima vya gesi kule.
Serikali iwekeze kwenye jeshi la zima moto. Tulishaandika humu kuwa ni jeshi lililosahaulika. Jamaa wapo vizuri theory,shida vitendea kazi.
Kuna sehemu haitimizi wajibu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
dodge