Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Hapana ni uzembe wa kutokuwa na vifaa vya kutosha kukabili moto hasa maeneo kama hayo. Wakajifunze Mtwara kwenye visima vya gesi kule.

Serikali iwekeze kwenye jeshi la zima moto. Tulishaandika humu kuwa ni jeshi lililosahaulika. Jamaa wapo vizuri theory,shida vitendea kazi.

Kuna sehemu haitimizi wajibu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile siku ya uhuru walituonyesha Magari ya zimamoto yanayotengenezwa pale Nyumbu,wayapeleke huko zimamoto sasa.

dodge
 
1) tunasema tank limeshika moto nakama matanki yana Code namba mf tank A tank B... Tunasema tank C limeshika moto linaungua japo chemically yanaungua mafuta professionally tunasema tank linaungua, ikija zimamoto atauliza tank gani linaungua unasema Tank C kwaakiri zako na wewe utamjibu “yanaungua mafuta sio tank”

Hayo ni matumuzi ya lugha tu

2)Aliyekwambia chuma akiungui ni nani njoo hapa IRON STILL mbagala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa ya ziada ajue kuwa hakuna kisichoungua ila vitu hutofautina kwa kiwango cha joto husika ili kiungue.
 
Wamekosea target, lengo lilikuwa soko la samaki (ferry)
 
Nimesikia kwa Miladi Ayo kuwa huyo askari aliyezima huo moto amepandishwa cheo
 
Back
Top Bottom