Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

[emoji30][emoji30][emoji30]
Ni tanzania pekee ambayo zimamoto watafika eneo la tukio na kusema hawana maji wakati moto umetokea kando kando ya bahari

Jr[emoji769]
 
Mungu asaidie wauzime maana naona zimamoto nyingi zimeelekea huko maana ni hatari sana eneo lote hilo ni mafuta na gesi maana hapo kuna tiper Na oryx na taifa gass wote wapo jirani
 
Labda tuanzie kwa "mchimba kisima kaingia mwenyewe" ndio tujue maana halisi na sahihi ni ipi katika muktadha huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni tanzania pekee ambayo zimamoto watafika eneo la tukio na kusema hawana maji wakati moto umetokea kando kando ya bahari
Hivi moto wa mafuta nao huzimwa na maji?
 
Dah umejichora kichizi kwa huu upupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…