Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Visima vya mafuta vya Lake Oil, Kigamboni vinateketea kwa moto

Hakuna kisima cha mafuta Kigamboni na lake oil hawajawahi kuwa na kisima cha mafuta Tanzania hii, labda useme matenki ya mafuta ya lake oil.

Hizi shule za kusomea ujinga ni majanga.
Umezidi ushari na wewe! kama yatima wa general Qaseem!!
 
Maji ya kawaida Yana Oxygen ambayo ukiyatumia Moto utaongezeka kuwaka.
Maji ya zimamoto yamewekwa Carbon dioxide kuweza kupunguza Nguvu ya Moto.
Chemistry form two. tabia za Oxygen.
Kwaiyo maji nayotumia mimi kuzima mkaa wangu jikoni, hiyo carbon dioxide inakua imewekwa na nani?

Tueleze wewe ambaye umepitia chemistry ya fom two
 
IMG_4731.JPG
IMG_4732.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo maji nayotumia mimi kuzima mkaa wangu jikoni, hiyo carbon dioxide inakua imewekwa na nani?

Tueleze wewe ambaye umepitia chemistry ya fom two
Hahaha. Nasubiri na mimi jibu lake
 
Back
Top Bottom