Visingizio vya asili kwa baadhi ya wanawake katika suala la ukosoaji na maendeleo

Huu upumbaf wa kumsikiliza mwanamke unatokea wapi?

Lipa Bill simamia watoto wakue...Tafuta Mchepuko kula hela yako ya ziada ...wekeza pata pesa zaidi kula maisha
Kama mshahara wake ataamua kuutumia hapo nyumbani mkataze....siku akikuzingua mfukuze aende akaishi kwenye hiyo nyumba anajenga kwa siri.....

Narudia tena Mzalishe mpe mahitaji ...kula maisha Viwanja baada ya viwanja...
Usisahau kuwekeza maana wana visasi sana uzeeni.
 
Tutaendelea kuonekana wapumbavu theoretically kwa baadhi yenu lakini itabaki vilevile mwanaume ndio breadwinner na ndio kichwa cha familia mwanamke hawezi kuingilia majukumu ya baba!
 
Duhhh!!😕
 
Tutaendelea kuonekana wapumbavu theoretically kwa baadhi yenu lakini itabaki vilevile mwanaume ndio breadwinner na ndio kichwa cha familia mwanamke hawezi kuingilia majukumu ya baba!
Ubinafsi, wanawake jitahidini kujirekebisha hapo. Unapokua na kipato jizoeshe kuona kawaida kuwajibika na matumizi ya famikia. Hiyo ni familia yako pia
 
Uzi ufungwe.
 
Waambie waelewe ukijiona una chululu chini ya kitovu na huwezi ku contro familia yako ungana na akina anko T
 
Analeta mambo ya ulaya hapa
Nikichangia bills atakubari tuishi kama wanawake wa ulaya huko ?
Au baado atataka apelekewe maji kwa kupigiwa magoti na kupelekewa maji bafuni?
Unataka nilipe bills utakubari zamu ya kupika ?
 
Duh mfukuze 🤔

Nyie bado mnachukulia wanawake kama mifugo masikini.
 
Ubinafsi, wanawake jitahidini kujirekebisha hapo. Unapokua na kipato jizoeshe kuona kawaida kuwajibika na matumizi ya famikia. Hiyo ni familia yako pia
Mwaya, hakuna submissive provider nakukumbusha kila siku.

Hiyari ndio inayofanya mwanamke aheshimu.

Tunapojadili hizi mada tunatakiwa tujadili tabia za asili zinazotokana na bayolojia au tabia “zilizotengenezwa” ambazo katika makuzi na malezi kila gender inasisitizwa kuwa nazo kwa upekee.

Mtoto wa kike katika ukuaji anasisitizwa kusubmit, na mtoto wa kiume anasisitizwa kuheshimiwa/ kudai heshima.

Sasa hawa watu wawili ukiwabadilishia roles hawawezi kumatch. Kama mnaweka mkazo kwenye ndoa na mwanamke akawa provider maana yake hawezi kusubmit, na mwanaume atajisikia less of a man, atatoka kwenda kutafuta wakumuweka chini hence a broken home.

Hivi mnajua hata ndoa zinasumbua kwanini you people!? yall have 0 idea.
 
Ukisoma methali 31 utajigundua wewe ni mjinga kuhusu kuhusisha bible kwenye uwajibikaji. Binafsi siamini katika utegemezi,, haya utasema mwanamke awe tegemezi je asipoolewa itakuwaje je akiolewa mumewe akifa itakuwaje. Wanawake mbadilike. Takwimu zinaonesha kila watanzania 10 maskini basi 7 ni wanawake kuna la kujifunza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…