njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano?
Basi hayo yamejitokeza kwenye soccer ,kama unadhani walimsamehe Barbara Gonzalez kwa kuidindia ile deal ya kitapeli ya kuilazimisha simba ivae logo ya GSM kwamilioni 3 kwa mwezi basi think again ndugu yangu, they are out there to get her
Simba waliandika barua ya kumalalamikia SOPE ALBINO comments zake haswa ile post ya ajabu kabisa kabla ya mechi na Asec mimosah ambayo Sope alijistukia akaifuta...simba waliandika malalamiko tarehe 17 april TFF wakapiga kimya tarahe 25 utopolo wakaandika malalamiko yao kuhusu interview south africa
weeks mbili zilizopita zikavuka tetesi kwamba kuna kikao kimefanyika nyumbani kwa mtu wakipanga kumfungia Barbara miaka 10 kama kawaida TFF wakakanusha..sasa bila shaka wanenda kutimiza lengo lao ili kuwafurahisha watoa milions 3 wanaolazimisha simba avae nembo yao kwa kupitia mlango wa nyuma
Hii ni original list ya CAF ikiwa imemchagua CEO kwenye kamati ya club licencing jina liko namba 10 ,kama kawaida unajua kilichotokea: