pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Hivi kuna team inaroga bongo kushinda yanga juma shabani alikuwa anaroga uwanjani kabisa na tff imekaaa kimya tatizo la simba wameamua kukaa kimya kwa yote wanayofanyiwa ila malalamishi fc mlitaka kwenda kwa raisi kweli yanga wenye akili ni wawili tu.Na kwenye uchawi pia unawaaminia, usisahau na hilo.