Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Inakusaidia nini?Huyo Barbara ni raia wa nchi gani?
Uraia wake uujue ili upate nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakusaidia nini?Huyo Barbara ni raia wa nchi gani?
hapana ni ule mchepuko wa kiume kwa wanaume wenzake , ule mweupemweupeHicho kidemu kimchepuko ndo kiliwashauri muwashe moto uwanjani ili mroge timu pinzani kule South Africa
Karia anamalizia mda wake aende maana hata yeye suala la uraia aliwapa waandishi mlungula wasiliandike naona kajisahau yaani msomali anatukosesha amani nchini kwetu.Karia na kitambi chake kala hela ya GSM hajui atairudisha vipi hivyo anamchukia huyo mwanamama kwa kukwamisha deal
Hivyo atapigwa kila aina ya zengwe...
Karia kageuka kua chawa wa GSM anafanya kila kitu wanachotaka
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Katika pages za mashabiki wa orlando pirates wali comment kwamba kocha wa Jwaneng galaxy anasema simba wanatoa kafara za binadamu ili washinde..jiulize hayo maneno yanatoka wapi maana hata kwenye ile post kwa Asec Mimosaha SOPE ALBINO aliandika hayohayoManara anapenda ligi na anagubu sana na huyu dada tangu kile kipinfi anaondoka simba nmhakufurahia kabisa kumuona barbra akiwin ile battle
Sasa kayaibua mapya kwa mgongo mwingine ila sababu ni ile ile, huyu jamaa anaweza kui cost club yake kwa maswala yake binafsi.
Ujue ile post aliyofuta ilikuwa na sumu kali sana ambayo kama TFF wangekuwa makini basi ile ilikuwa ni sehemu nzuri ya wao kumuwajibisha
Lakini kwasababu TFF ina operate kwa kufata meza yenye bia nyingi basi imejikuta ikiwahukumu watu kutoka clubs nyingine ambao hawana nguvu ya kuiyumbisha
Hili swala likisipofanyika kwa haki chini ya TFF naamini litafika mbali kabisa na hapo ndipo uozo wa TFF utakapo reveal.
Pia hawa orlando ndio waligomea kupita mlango rasmi kuingia uwanjaniKatika pages za mashabiki wa orlando pirates wali comment kwamba kocha wa Jwaneng galaxy anasema simba wanatoa kafara za binadamu ili washinde..jiulize hayo maneno yanatoka wapi maana hata kwenye ile post kwa Asec Mimosaha SOPE ALBINO aliandika hayohayo
Hadi leo malalamiko ya orlando hayana maana walijazwa upepo sana ndiyo maana walikuja na panick kubwa sana ikabidi kusingizia msafara ulikuwa na rider mmoja, albino na senzo na yanga wanahusika asilimiz mia moja, senzo kafanya kazi orlando na ni shabiki wa hiyo teamPia hawa orlando ndio waligomea kupita mlango rasmi kuingia uwanjani
Waliambiwa na nanj kama sio usnitch wa yule zungu?
Halafu akibanwa utaskia ni utani at the same time anawaparua wengine kwa madai ya kusema wanam attack personally
Utopolo hawana akilihilo unaloongelea lina mada zake humu jikite kwenye hi mada ndugu
We jamaa kwenye kila mada comment zako huwa ni za kuhara tu, hujawahi kujadili hoja zaidi ya personal attacks.Wavuta bangi wa humu usiwachukulie serious, hawana tofauti na wapiga porojo kwenye mataputapu.
Baadae caf waligundua kigalula ni kiongozi wa wachawi sio kiongozi wa Mpira.Recommendation ya CAF je nchi husika ikisema haimtaki haina imani naye? we unahisi nini kiko nyuma ya yeye jina lake kutolewa? unadhani ile deal ya kitapeli ya kuilazimisha simba kuvaa nembo la ajabuajabu kwa milioni 62 kwa miaka miwili lilivyokataliwa na yule dada SOCCER MAFIA walifurahia?
Unapoteza muda wako bure hapa kwa huyu jobless.Mkuu mimi naomba kueleweshwa.
Kama original list imetoka CAF imemchagua CEO kwenye kamati ya club licencing ina maana hiyo document ni mali ya CAF na siyo mali TFF, sasa inakuaje TFF wawe na nguvu kuliko CAF hadi waiondoe hilo jina?
Ikabidi wamwondoe [emoji1][emoji1]Baadae caf waligundua kigalula ni kiongozi wa wachawi sio kiongozi wa Mpira.
Yani mkuu kwa ulivyo 'bright' huwezi amini kama klabu unayoshabikia imetozwa mamilioni kwa ushirikina uwanjani.Manara anapenda ligi na anagubu sana na huyu dada tangu kile kipinfi anaondoka simba nmhakufurahia kabisa kumuona barbra akiwin ile battle
Sasa kayaibua mapya kwa mgongo mwingine ila sababu ni ile ile, huyu jamaa anaweza kui cost club yake kwa maswala yake binafsi.
Ujue ile post aliyofuta ilikuwa na sumu kali sana ambayo kama TFF wangekuwa makini basi ile ilikuwa ni sehemu nzuri ya wao kumuwajibisha
Lakini kwasababu TFF ina operate kwa kufata meza yenye bia nyingi basi imejikuta ikiwahukumu watu kutoka clubs nyingine ambao hawana nguvu ya kuiyumbisha
Hili swala likisipofanyika kwa haki chini ya TFF naamini litafika mbali kabisa na hapo ndipo uozo wa TFF utakapo reveal.
Na kwenye uchawi pia unawaaminia, usisahau na hilo.Kwenye suala la sheria simba nawaaminia maana yanga akili zipo msoga na kwa babaake manara tu wengine wote wehu tu weupe kwenye sheria.
Ufafanuzi ni kwamba TFF inataka Kubalansi katika kutoa Adhabu kwani anayetakiwa Kuadhibiwa ni Manara ila wanaogopa Yanga SC watalalamika hivyo wanataka Kumfungia na Barbara ( Babra ) ili kukwepa lawama. Hawatafungiwa ila watapigwa tu Faini na kupewa Onyo Kali.GENTAMYCINE njoo toa ufafanuzi