Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Inafaa walete wanajeshi barabarani kudhibiti watu wasikae kwa makundi makundi.
 
Tusifanye mambo kwa fasheni eti kwa kuwa na wengine wanafanya eti na sisi tufanye.

Kikubwa sasa hivi ni kufunga mipaka wageni wasiingie nchini, na watanzania wanaorudi wawekwe karantini siku 14.

na tuwasake waliocontact wenye kirusi tuwaweke kwenye karantini

Mambo mengine tuwaelimishe zaidi wananchi wachukue tahadhari wao wenyewe badala ya kutumia maguvu.

Huyo anayelilia jeshi liingie mtaani hajui athari ya jeshi kuchukua doria mitaani

Jeshi liingie kama last resort kutegemea na severity ya situation, siyo unaingiza Jeshi kwa kulimiss kuona action zake. Utaumia shauri yako, Jeshi siyo kitu cha kuombea kukiona kikiendesha operesheni mitaani
 
Umesahau na mashehe wanaokusanya watu ili kuwapatia utajiri na Mambo mengine, hao vipi hawahitaji kukemewa?
Wanaoombewa huanguka nchini na kugalagala jsmbo ambalo husababisha wahudumiwe kwa kubebwa hivyo husababisha mgusano wa ngozi na wengine hutapika.
 
ufunge mipaka tayari unaye ndani ya mipaka?
Kikumbwa ni kupunguza kasi kwa kuenea na moja ya njia ndo hiyo, zuia watu wasikusanyike.
 
MkamaP,
Sasa hata hilo jeshi lakutimua watu silazima ukusanye hao askari ambao pia utahatarisha usalama wao kwa corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…