Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi


Haya yote yanatakiwa kwenye sanduku la kura, sasa watanzania walivyo ma-poyoyo yapo huo ushetu yanaimba bomberdier , sasa hiyo bomberdier na sgr iwatibu corona
 
Waziri wa uvhukuzi naibu wake aliropoka kabisa kuwa hawatafunga mipaka.
Huyu alaaniwe kabisa. Wangefunga isabela angepitaje kiurahisi?
Huyu alaaniwe tena na tena
 
Waziri wa uvhukuzi naibu wake aliropoka kabisa kuwa hawatafunga mipaka.
Huyu alaaniwe kabisa. Wangefunga isabela angepitaje kiurahisi?
Huyu alaaniwe tena na tena
Duh, ndege hazikupaswa kuendelea kuruka, walipo
 
Haya yote yanatakiwa kwenye sanduku la kura, sasa watanzania walivyo ma-poyoyo yapo huo ushetu yanaimba bomberdier , sasa hiyo bomberdier na sgr iwatibu corona
Mkuu sanduku la kura bila tume huru ni kazi bure. Wataiba tu.
Ndio maana Magu anatukana watu na anafanya anavyotaka kwa sababu he doesn't hive a damn! Anajua tume huru ni ya kwake.
Hasikilizii maoni kwneyw ground.

Kwa hio kukiwa na mahakama huru tume huru basi lazima viongozi wangekuwa na heshima na wangenyooka
 
Mazingira yetu ni magumu sana kupambana na korona. Kumbuka kwamba maoni yako yanahusu watu wa kipato cha chini ambao maisha yao ni ya kubahatisha, yaani maisha yao peke yake ni korona tosha. Bila shaka hili serikali wamaliona ndio maaana hawajakurupuka kwenye hilo. Unachotakiwa kujua ni kwamba serikali ni kama baba, maamuzi yake yanategemea ufahamu wake dhidi ya watoto wake.
 
Hongera kwa Serikali kwakuwa ishazuia mikusanyiko mingi ya watu na elimu inazidi kutolewa abiria msikubali kurundikwa au kupanda gari iliyojaa na traffic police wafanye kazi yao sasa!!
Kila MTU ajilinde na amlinde mwenzie ni suala la kutumia akili sio kuitaka serikali isemee kilajambo.
Vyuo vikuu kidogo niwatu wazima na wasomi wajilinde maana hali haijachachamaa sana kula yao na lala yao sio ya msongamano sana japo darasani ni changamoto watumie mbinu bora hali ikizidi nao wafunge chapu tusijepoteza nguvukazi.
 
Kwani kuhusu usafiri wa umma unatakaje? Serikali imnunulie kila mwananchi usafiri wake au?

Serikali itoe agizo, abiria wasijazwe kwenye daladala ZAIDI ya viti vilivyomo ndani ya gari.

Watu waende "level seat" kupunguza mbanano.

Naomba Hilo lisimamiwe kwa umakini. Polisi trafic fanyeni hiyo kazi kwa weredi Mkuu, biashara itakuwepo tu.
 
Ilitakiwa waliopo shule za boarding, jkt na hate wanavyuo waliopo hostel za chuo wabaki huko huko ili kuwalinda wasipate maambukizi, hakuna mtu kuingia Wala mtu kutoka. Sasa Hawa wa shule za boarding unapo waruhusu inakuwa Ni risk kwao katika Safari yao kurudi majumbani. Wangebaki tu huko waliko na huduma iwafuate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakifa nani ataangalia hao watoto wao waliopona kwa kufunga shule?
 
Kwa hiyo vijiwe vya kahawa kwenye maeneo mengine viwe wazi tu?
vingine vina watu wachache lakini vya pale lumumba vinabeba jobless wengi sana na kundi kubwa la vijana wajulikanao kama "MATAGA 110%" na wengine wanajiita 'CCM MPYA' wanakaa eneo la Mandi hotel huku wakilipwa buku 7 kwa siku kuchafua mitandaoni, walipwe huko nyumbani , hapa najumuisha na kina CYPRIAN MUSIBA
 
Vitu vingine ni vya kufikirika japokua vingine sijui ulikua serious ama?
mtajua nipo serious itapotangazwa kuwa corona ipo dar toka mwishoni mwa february, keep my words, utarudi hapa. Ummy mwalimu na aliye mteua ni maadui wa taifa hili.

Mch Msigwa alipeleka hoja ya corona mwezi wa pili ijadiliwe bungeni, NZI WA KIJANI wakapinga badala yake wakajadili namna ya kumuua ZITTO kabwe na hoja ikaungwa mkono na mch RWAWKATARE
 
Nidhamu ya kupanda dala dala mpaka kuwe na usimamizi wa karibu,tena iwepo nguvu ya ziada ili jamii ijifunze utaratibu wa kuingia kwa foleni.

Madereva wadhibitiwe kutokaa muda mrefu kituo kimoja,na hivyo kusababisha abiria kulundikana vituoni.
 
Machinga wakifungiwa 100% watakufa njaa na familia zao. Rate ya kufa kwa Corona Virus ni 0.2% wakati wa kufa njaa ni 100%. Bora Corona kuliko kufungiwa Chingaz!
 
Hii ccorona tuibadilishie jina kidogo, iitwe corombowe au corodema. Kesho tu wahusika wako field kuikabili [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…