Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu waweza isafisha Kwa sanitizer Na isipate madharaKwenye vita hii hayo maji hayaruhusiwi. Hata kuhudhuria ibada za kanisani na misikitini hairuhusiwi. Ni kubaki nyumbani tu. Simu za mkononi ni petri dish za corona. Ukinawa mikono halafu unashika simu yako (ambayo hujainawisha na huwezi kuinawisha) work done inakuwa zero! Hivyo baki nyumbani kwako tu.
HtrKwa nguvu kubwa ya tahadhar dhid ya corona nje na ndan ya nchi. Je sio wakat muafaka wa kutojaza kwenye mabas hasa MWENDOKASI? naona bado ni pomoni pomoni. Au sisi Tz tuna ka immunity flan!
Huyu anayetembea na magari karibu mia hafanyi misongamano ?!. Mbona mkikaa akili inawarudisha Cdm tu ?!. Hukumbuki kuwa Mbowe ameongea kabla ya Ummy !! Kosa lake liko wapi ?!. Je na yule aliosema hasubuhi kuwa Tz hakuna Corona tumhukumu !!Vita dhidi ya corona haina chama wala dini wala ukabila. Kuna uwezekano hata ibada za siku kuu za Pasaka mwaka huu hazitakuwepo. Huko Italy na Vatican, wananchi wote wako under house quaranteen (hawatoki nje ya nyumba zao) isipokuwa watoa huduma wa hospitalini tu na polisi. Sisi tunataka kufanya maandamano na mikutano ya hadhara isiyo na kikomo kila siku kama ile ya UKUTA ya 2017! Hata jumuiya za kimataifa zitatushangaa!
Mkuu unataka na picha ya mwendokas kujua kama inajazaga kupitiliza kweli? Nilidhan mambo ya picha yanaishia mkono wa MdeeWeka picha mkuu uzi bila picha haunogi inaonekana ni uongo weka kapicha tuone
Kwa janga hili Mbowe asubiri kwanza lipite ndo tutakuja kwenye mikutano yao,Kwa sasa hivi Wawe wanarecod kwa sana clip za kampeni wanatupia hizi Hazina cha intelligence ya polisi zisiwe za uchochezi tu.Pia ccm imeshawafanyia kampeni tosha Kwa kutusomesha namba mwaka wa tano sasa ccm haina jipya nje ya ndege, sgr,stiglersVita dhidi ya corona haina chama wala dini wala ukabila. Kuna uwezekano hata ibada za siku kuu za Pasaka mwaka huu hazitakuwepo. Huko Italy na Vatican, wananchi wote wako under house quaranteen (hawatoki nje ya nyumba zao) isipokuwa watoa huduma wa hospitalini tu na polisi. Sisi tunataka kufanya maandamano na mikutano ya hadhara isiyo na kikomo kila siku kama ile ya UKUTA ya 2017! Hata jumuiya za kimataifa zitatushangaa!
Vita dhidi ya corona haijaanza leo. JPM kaanza kabla ya hapo kutanganza vita hii na vyombo vyetu vya habari viliitikia vizuri na vimekuwa vikiitangaza. Mbowe alipaswa kuwa analijua suala hili. Halijaanzia kwa Ummy.Mods nadhani ifike mahali turuhusiwe kutukana watu kama hawa,we boya nani alianza kufanya mkutano kati ya mbowe na ummy?
Tangu lini hayo mawasiliano ya mtandaoni mliyasitisha? Si Mwamba kaona hayatoshi na ndipo kaagiza muingie mitaani kupambana na polisi na kusambaza corona?Mipango itaendelea tu labda mzuie mawasiliano. Kama univesities lectures zinaendelea on line seuse mawasiliano ya Mwamba na wanachama 😂
Ramli ilionyesha kwamba kungekuwepo na tamko mahali flani, wakaona wasubirie kwanza. Huoni kwamba taarifa imekuja muda muafaka?