SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 10,892
- 3,112
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu tutaishi vipi ?Kaa ndani usitoke.
Hivi wao walikuwa wanafanya mikusanyiko bado maana vyama vingine wao wakikusanyika ni mabomu na kukamatwa
Mbona serikali imeahirisha mitihani ya form six ilikua may pia, vyuo na kadhalika. Yaani ratiba ya mitihani ndio iweke maisha ya watanzania hatarini kiasi hicho? Kwani hiyo mitihani haiwezi kufanyika wakati mwingine?Ku stop review means ratiba itavurugika May hakutakua na pepa itawawia vigumu sana ku arange mtihani hapo kati ndio mana wanakomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Phillipo tatizo sio muda gani mtu anaanza kuugua baada ya maambukizo. Na wala hakuna njia ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa kwa wale wasiojua kwamba alikutana na nani.Jankoliko,
Wagonjwa wameingia Ulaya kutoka Wuhan China wangeshindwa vipi kuingia Tanzania?. Mtu anapata virusi leo anaanza kuugua baada ya wiki mbili, utamgunduaje pale uwanja wa ndege akiwa kavaa vizuri na ana afya njema?.
Cha muhimu sio malalamiko bali ni kuikubali hali na kupambana nayo.
Wapo.Hivi wahasibu bado wapo bwashee?
Siku hizi hawasikiki sana!
Ila tuna watu wana masikhara sana..Jana kariakoo kuna jamaa wanasalimiana kwa kushikana mikono wanasema Mlinzi ni Allah Pekee