johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanakosea mno bwashee!Acheni kutukanana basi. Leteni hoja zenye mantiki. Kama wanaendesha semina hakika wanakosea sana .
Vipi upo semina?Wewe utakua Ni dereva..au secretary si kwa roho mbaya hii
Nimestushwa kusikia Taasisi kadhaa za Umma wakiwemo watumishi wa OR-TAMISEMI NA wizara nyingine wakiendelea na vikao katika maeneo kadhaaa morogoro.
Labda ni ramli chonganishi na uchocheziKuwa muwazi, hizi semina zimefanyika hoteli gani? Mie nilipita Flomi hotel kulipangwa semina/warsha kumbi 3 gharama za ngos 3 hatahivyo matukio yote matatu hayakufanyika ingawa washiriki walifika hadi kwenye kumbi husika. Huo ni ushuhuda wa kutii amri halali ya SERIKALI
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wa katika pantoni inakuwaje?? Tuko tayar kutembea je ktk maji tuige style ya Nabii mussa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Limo humu bandiko lake bwashee na limeelezewa kwa kina!Haraka ya nini! Siyo wote tuliosikia Hilo tamko la sheikh zuberi.
Eleza amesema nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
ana smart phone ya kuangalizia pono tu na kupiga nyeto,Limo humu bandiko lake bwashee na limeelezewa kwa kina!
Sadaka ziko siku zote bwashee!Sadaka mkuu.,ngoja tusubiri lakini
Wasipoenda ksnisani na kwa manabii zitapatikana kweli mangi?Sadaka ziko siku zote bwashee!
Bado unakumbuka " ya" msibani bwashee?!!!Askofu Shoo ni mwepesi wa tamko kama issue inahusu Makonda!
Watatuma kwa mtandao!Wasipoenda ksnisani na kwa manabii zitapatikana kweli mangi?