Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

FaizaFoxy,
diversionist ktk ubora wako. nguruwe minyoo corona vinahusina vipi
 
Uichoandika hakina mahusiano ya moja kwa moja na vita dhidi ya corona. Kwa ufupi unaanzisha mada nyingine wakati moja ikiwa inaendelea.

Hilo suala la wasemaji wa madhehebu ya kikristo ni mada inayojitegemea.
 
Wadau naomba msipoteze muda kuongelea mikutano ya chadema .
Ni wazi kabisa chadema wataiahirisha hio mikutano.
Sasa hivi wanakomaa kwanza ili Policcm wasumbuke kuzunguka na migari yao na kufanya mazoezi.
Ila chama makini hakitafanya mikutano kwenye mazingira hatarishi ya gonjwa mlipuko.
Ahsante
 
Watu wafunge ndoa kimya kimya, maswala ya kuombana michango sasa yasiwepo, unataka mchango sherehe inafanyikia wapi?.

Ukioa sasa tunataka ujumbe tu kwamba unaoa ingia kanisani or masjid owa kimya kimya, tuma picha tu tunakupongeza hela zetu ziende kwenye mambo mengine sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa,Tena nawashauri wote ambao hawajaoa kwa kuhofia gharama za harusi,hiki ndio kipindi chenu,msifanye ajizi oeni mapema Tena gharama no mahari tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inaonekana una kadi za kutosha zinasubiri uchangie!

Hii ni issue ambayo iko ndani ya uwezo wako wewe mwenyewe hauhitaji mtu mwingine aje akuokoe, kama hujisikii kuchanga acha kuchanga, kama hauna uwezo acha kuchanga, with or without corona kuwa huru na maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ingefaa kweli mkuu maana hapa nilipo nina michango ya wana kibao iko pending.
 
Wakikumbushia we waambie tu upo kwenye mapambano na corona. Ikiisha utawatumia michango yao wasijali
Tatizo ndugu wengine na wengine ni machalii wa damu. Inabidi kutoboka tu ila haya mambo huwa nawaza sana kuchanga dough shazi ili itumbuliwe siku moja tu huwa naona ni uwaki kinoma.
 
Tatizo ndugu wengine na wengine ni machalii wa damu. Inabidi kutoboka tu ila haya mambo huwa nawaza sana kuchanga dough shazi ili itumbuliwe siku moja tu huwa naona ni uwaki kinoma.
Hahahaa ndo mifumo yetu hii, raha ya mchango bana uchangiwe na sio wewe uchange😛. Jipinde tu kwa watu wa karibu...mimi hua sichangi kwa kujiforce nachanga pale ambapo niko vizuri, kama sina namute mtu ataelewa tu mwenyewe.
 
Hahahaa ndo mifumo yetu hii, raha ya mchango bana uchangiwe na sio wewe uchange😛. Jipinde tu kwa watu wa karibu...mimi hua sichangi kwa kujiforce nachanga pale ambapo niko vizuri, kama sina namute mtu ataelewa tu mwenyewe.
Tungekuwa na utamaduni wa kuchangiana mitaji ya biashara au ada za shule ingekuwa jambo la muhimu sana. Hii michango ya harusi alafu siku bee tu watu wametemana ni matumizi mabaya sana ya rasilimali.
 
NAKWEDE,
Suala la kusitisha kabisa Misa zote za wiki na Jumapili, linapaswa kuangaliwa kwa umakini Mkubwa. Ni kweli, ukitumia Logic ya kawaida, katika kipindi hiki ambacho wataalam wa afya wanatuasa kuepuka mikusanyiko mikubwa, waweza sema, Misa kama sehemu ya Kusanyiko, nazo zatakiwa kusimamishwa. Lakin kumbuka, Wakati huu ambako watu Wana Wasiwasi/hofu/mashaka juu ya maisha yao, Ni Wakati ambao kama Kanisa lililo chanzo Cha Matumaini na Faraja kwa watu, linapaswa kukaa karibu zaidi na waamini na wote wenye uhitaji.

Na kwa kuwa huku kwetu, coverage ya Internet Ni ndogo, ndio kusema, Kanisa likianzisha program za Televised Masses, Ni waamini wachache watakaofikiwa na huduma hiyo. Wengi watabaki wapweke, bila tumaini mithili ya walivyokuwa Mitume wa Yesu mara baada ya Yesu kuuawa. Pia, wako waamini ambao Wakati huu wanahitaji huduma ya Kitubio kuliko Wakati mwingine, huduma ya Ushirika wa Bwana.

Hivyo, kama Kanisa likienda kichwa kichwa kuimpose baadhi ya Mambo, laweza kujikuta katika Wakati mgumu pindi maisha yatakavyorud kawaida, kwani Waamini wengi wanaweza kuachana na Kanisa kwa sababu Kanisa nalo liliwatelekeza Wakati walipokuwa wakilihitaji zaidi.
 
Mambo yakiwa mabaya zaidi ndio watu wataelewa
Mabasi watayakimbia wenyewe, hakuna atakae panda taxi na kila mtu atamuogopa mwingine
Haya yanatokea Ulaya kwa sasa
Wengi wamekaa nyumbani
Wazee wanapelekewa chakula nyumbani
Parcel delivery ukiletewa mtu anakaa mbali mita 2 na wewe
Fck Corona


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tungekuwa na utamaduni wa kuchangiana mitaji ya biashara au ada za shule ingekuwa jambo la muhimu sana. Hii michango ya harusi alafu siku bee tu watu wametemana ni matumizi mabaya sana ya rasilimali.
Daah hii kitu nliwahi ishuhudia kwenye moja ya whatsap group nliyyokuwepo... kulikua na harusi watu walitiririkaa michango.

Siku nyingne kuna ndugu aliomba wamsaidie ada ya mwanae, na kweli alikua na shida hahaa watu wachache sana wakatoa, sjui kwanini tuna hii tamaduni jaman. Tubadilike kwakwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…