Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uichoandika hakina mahusiano ya moja kwa moja na vita dhidi ya corona. Kwa ufupi unaanzisha mada nyingine wakati moja ikiwa inaendelea.Shekhe katoa kaeleza mbele ya waandishi wa habari kwa sababu mufti kasimamia madhehebu yote ya kiislamu zaidi ya 10 lakini nyie wakristo kila dhehebu lina mkubwa wake na msemaji wake.lakini wote mnaitwa wakristo ilitakiwa muwe na msemaji mmoja na taasisi yenu iwe moja kama bakwata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni lini waliruhusu?Vyombo vya ulinzi na usalama vizuie mikutano ya CHADEMA tu. Mikutano ya CCM iruhusiwe kipindi hiki ambako kuna hatari ya ugonjwa wa CORONA.
Watu wafunge ndoa kimya kimya, maswala ya kuombana michango sasa yasiwepo, unataka mchango sherehe inafanyikia wapi?.
Ukioa sasa tunataka ujumbe tu kwamba unaoa ingia kanisani or masjid owa kimya kimya, tuma picha tu tunakupongeza hela zetu ziende kwenye mambo mengine sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonekana una kadi za kutosha zinasubiri uchangie!Watu wafunge ndoa kimya kimya, maswala ya kuombana michango sasa yasiwepo, unataka mchango sherehe inafanyikia wapi?
Ukioa sasa tunataka ujumbe tu kwamba unaoa ingia kanisani oa kimya kimya, tuma picha tu tunakupongeza hela zetu ziende kwenye mambo mengine sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Virus vya Corona vimeletwa na CHADEMA!mbenge,
Mikutano ya CCM haiwezi kusababisha maambukizo ya Corona.
Viongozi wa CHYADEMA na mashabiki wao ndiyo wenye pumzi chafu zenye virusi.
Wakikumbushia we waambie tu upo kwenye mapambano na corona. Ikiisha utawatumia michango yao wasijaliDah ingefaa kweli mkuu maana hapa nilipo nina michango ya wana kibao iko pending.
Tatizo ndugu wengine na wengine ni machalii wa damu. Inabidi kutoboka tu ila haya mambo huwa nawaza sana kuchanga dough shazi ili itumbuliwe siku moja tu huwa naona ni uwaki kinoma.Wakikumbushia we waambie tu upo kwenye mapambano na corona. Ikiisha utawatumia michango yao wasijali
Kama ratiba ya mipango yako na maisha inaweza badirika vipi ratiba ya mtiani? We are joking!!!Ku stop review means ratiba itavurugika May hakutakua na pepa itawawia vigumu sana ku arange mtihani hapo kati ndio mana wanakomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa ndo mifumo yetu hii, raha ya mchango bana uchangiwe na sio wewe uchange😛. Jipinde tu kwa watu wa karibu...mimi hua sichangi kwa kujiforce nachanga pale ambapo niko vizuri, kama sina namute mtu ataelewa tu mwenyewe.Tatizo ndugu wengine na wengine ni machalii wa damu. Inabidi kutoboka tu ila haya mambo huwa nawaza sana kuchanga dough shazi ili itumbuliwe siku moja tu huwa naona ni uwaki kinoma.
Tungekuwa na utamaduni wa kuchangiana mitaji ya biashara au ada za shule ingekuwa jambo la muhimu sana. Hii michango ya harusi alafu siku bee tu watu wametemana ni matumizi mabaya sana ya rasilimali.Hahahaa ndo mifumo yetu hii, raha ya mchango bana uchangiwe na sio wewe uchange😛. Jipinde tu kwa watu wa karibu...mimi hua sichangi kwa kujiforce nachanga pale ambapo niko vizuri, kama sina namute mtu ataelewa tu mwenyewe.
Daah hii kitu nliwahi ishuhudia kwenye moja ya whatsap group nliyyokuwepo... kulikua na harusi watu walitiririkaa michango.Tungekuwa na utamaduni wa kuchangiana mitaji ya biashara au ada za shule ingekuwa jambo la muhimu sana. Hii michango ya harusi alafu siku bee tu watu wametemana ni matumizi mabaya sana ya rasilimali.