CCM wanataka Ugonjwa usambae kwa kasi baadae watangaze kufuta uchaguzi mpaka mwakaniHata hapa JF wajinga hao wako wengi tu wanaoshangilia kila kitu kisa tu knafanywa na watawala.
Kaamua kuwaacha watu waambukizane kwa wingi ili mwezi ujao wagonjwa wawe wengi wapate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema ambao wameapa kufanya mikutano ya siasa ambayo ni haki yao kisheriaWamesha chelewa sana maana wana cdm wanazidi kujizolea wafuasi tangu ile hukumu na wakafanya kosa tena la kuwavunja vunja kina mama.
Hayo matukio ni zaidi ya kufanya mikutano ya kisiasa maana cdm sasa imejizolea wafuasi kibao
In God we Trust
Shida yetu ni malaria siyo corona acheni kutisha watz
This is not TZ that is Italy!Tell these nut guys from CCM to read screenshots below. We shall all perish like fools as the Bible says. Stop applauding everything from your bossesView attachment 1396210View attachment 1396211View attachment 1396212View attachment 1396213
Don't make a promise you can't fulfill...
Le mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakaniUmeona hata Zimbabwe watu wameambiwa wasiende kwenye nyumba za ibada, waliokaidi wamepigwa viboko. Tatizo la Tanzania, wajinga ni wengi kuliko werevu.
Hopeless comment!Le mutuz kampa jamaa taarifa kuwa kapata siri toka kwa Daud Bashite kuwa lengo la CCM kutowazua Wachina wazungu wageni wote ni kutaka wagonjwa wawe wengi hapo Nchini ili CCM ipate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema na pia kufuta uchaguzi mpaka mwakani
CCM mnataka corona isambae kwa nguvu ili mpate kisingizio cha kukwepa uchaguzi OctoberShida yetu ni malaria siyo corona acheni kutisha watz
Wewe mwenyewe mwehu hujitambui inawezaje kujua hopeless commet? si mpaka uache kuvuta bang hapo gheto kwa le mutuz ndipo fahamu zitakurejeaHopeless comment!
CCM mnataka corona isambae kwa nguvu ili mpate kisingizio cha kukwepa uchaguzi October
Nyinyi uchaguzi hamuwezi shinda watz walishawakataa siku nyingi sanasana mtakimbia kwa kisingizio cha kitoto cha Tume Huru.CCM mnataka corona isambae kwa nguvu ili mpate kisingizio cha kukwepa uchaguzi October
Kweli wewe ni minyoo siyo bure!Wewe mwenyewe mwehu hujitambui inawezaje kujua hopeless commet? si mpaka uache kuvuta bang hapo gheto kwa le mutuz ndipo fahamu zitakurejea
Mkuu umeelewa lakini?Raia wetu namba moja leo akiwa kanisan kasema tusitishane watu wafanyew shughuli zao huu upepo unapita mpaka sasa tuna waathirika sita tu na hamna kifo.Hoja mfu sana hii,papa ndo nani,nakwanini asikilizwe yeye na si rais Magufuli au madaktari tulokuwa nao nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kutishana na huyu shetani corona naye atapita tu!Mkuu umeelewa lakini?Raia wetu namba moja leo akiwa kanisan kasema tusitishane watu wafanyew shughuli zao huu upepo unapita mpaka sasa tuna waathirika sita tu na hamna kifo.
Baadae ndio akaja na hotuba nyingine ya kujaribu ku contain damage
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo video clip ya miaka nyingi nyuma mnadanganywa msiojitambua.
Wewe mbweha uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho ndiyo Tatizo la kuishi gheto kwa le mutuz kuvuta Bangi kwa Akili zako finyu unajiona umetoa tusi? U-Ugonjwa C-corona D-dhahiri hii ndiyo tafasiri ya kweli na kirefu cha jina lako la kifala UCD kubali ukatae watanzania siyo wajinga kama nyinyi watetezi vilaza wa CCM humu mitandaoni, watanzania wanajua mbinu zote za kuwadhoofisha chadema kwa kila haliKweli wewe ni minyoo siyo bure!
Kaamua kuwaacha watu waambukizane kwa wingi ili mwezi ujao wagonjwa wawe wengi wapate sababu ya kuzuia mikutano ya chadema ambao wameapa kufanya mikutano ya siasa ambayo ni haki yao kisheria