Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Minyoo na Ugonjwa Corona Dhahiri UCD ni kipi hatari kwa sasa? wewe ni mwehu kwani mimi na wewe hutafanani kwa hoja na ndiyo maana nimekupa kirefu cha jina lako pengine kwa ufala wako hukuwa unajua kirefu cha UCD ni Ugonjwa corona dhahiri, sasa Ugonjwa umekuingia kichwani umeacha hoja na kuleta vurugu lakini kubali ukatae lengo lenu tumewashitukia mapema
Minyoo!
 
Watanzania wenzangu. Tumieni maarifa. Ujinga utatumaliza.

Epuka mikusanyiko yote. Kwa hivi sasa ugonjwa unasambaa. Siyo kwamba ni tatizo dogo. Tatizo ni kubwa mno na vurusi vipo nchini ila kwa sasa tunaambukizana. Patakuwa hapatoshi.

Tuache ujinga. Epuka mikusanyiko hata ya kwenye ibada. Kule Italy hata pope ameagiza tusali majumbani kwetu na maungamo tujifanyie wenyewe. Huyo ndo kiongozi wa kanisa na hapo alipo ndipo alipozikwa Paulo na Petro. Sikiliza wataalam, siyo Rais Magufuli.

Kama ungelijua umuhimu wa ibada wala usingelithubutu kuwaza kuzuiliwa mikusanyiko ya Ibada. Ngoja nikupe lecture kidogo tu, Corona virus ni Tauni,au pigo ambalo Mungu ameachilia juu ya dunia kwa ajili ya uovu. na kila pigo hukomeshwa na toba na maombi yanayotokana na kusanyiko linalotubu mbele za Mungu. Corona hamalizwi na wataalamu, la sivyo China na nchi za ulimwengu wa kwanza wangeshaimaliza muda mrefu. hili ni pigo ndio maana yanahitajika maombi ya toba. Kwa hiyo Rais yupo sahihi kabisa kutaka watu wamuombe Mungu, siyo kuzuia Ibada.
 
U-Ugonjwa C-corona D- dhahiri wewe mbweha ulikuwa ujui kirefu cha jina lako sasa corona umeingia kichwani hutaki kujenga Hoja umebakia kuleta vurugu humu uwatoe watu kwenye mada
 
DPP na yeye aombewe aacha kuwabambikia wapinzani kesi
 
WATANZANI TUEPUKE UJINGA
Tuzuie mikusanyiko wenyewe
Watumishi Makanisa Misikiti nyumba zote za Ibada mmeona kilichotokea Italy Iran South Korea IBADA zimewafanya wengi kuambukizwa

Umoja wa Mataifa utakuja kuwafungulia viongozi wengi duniani kwa kuwapotosha watu wao wakaangamia kama nzige

Russia nako kiongozi wao ana fikra potofu sasa kuna Doctor amerudi toka Italy mgonjwa sana kabla ya kuanza kuugua amefanya vikao amekutana na watu wengi hofu iliyopo sasa watu wengi wataanza kuugua itakuwa Italy imehamia Russia. Amefunguliwa mashtaka yupo hoi kitandani akipatikana na hatia miaka mitano au zaidi jela inamhusu

Huku kwetu tunaambiwa twende kanisani misikitini kuabudu na kuomba shetani corona atoweke!

Are serious na maisha ya watu kweli
Tuna kiongozi sijui mtawala aliyekosa uelewa sijui atatambua hatari hii lini?

Wazazi wetu wakipoteza maisha kwa sababu ya Corona ' we will sue you'
Acha vitisho mkuu,kwanza.ndefu.sana,halafu "KUWAFUNGULIA NINI VIONGOZi" huo umoja wa Mataifa?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U-Ugonjwa C-corona D- dhahiri wewe mbweha ulikuwa ujui kirefu cha jina lako sasa corona umeingia kichwani hutaki kujenga Hoja umebakia kuleta vurugu humu uwatoe watu kwenye mada
Sawa Minyoo!
 
Wewe umebambikiziwa lini Minyoo?
Corona ni hatari kuliko chochote hata hizo Bangi unazovuta ni Hatari zaidi acha ufala rejea kwenye hoja CCM mmeamua kuachia corona isambae mpate kisingizio cha kufuta uchaguzi na kuzuia mikutano ya chadema mwezi ujao
 
Amepotoka sana mkulu, kama ameweza kutoa order shule zifungwe na watoto wetu wasipate elimu, kanisani na misikitini kuna kipi cha ziada?

Gathering yoyote kwa sasa ni kosa kubwa na itakuja kuligharimu taifa.
 
Back
Top Bottom