Kama ungelijua umuhimu wa ibada wala usingelithubutu kuwaza kuzuiliwa mikusanyiko ya Ibada. Ngoja nikupe lecture kidogo tu, Corona virus ni Tauni,au pigo ambalo Mungu ameachilia juu ya dunia kwa ajili ya uovu. na kila pigo hukomeshwa na toba na maombi yanayotokana na kusanyiko linalotubu mbele za Mungu. Corona hamalizwi na wataalamu, la sivyo China na nchi za ulimwengu wa kwanza wangeshaimaliza muda mrefu. hili ni pigo ndio maana yanahitajika maombi ya toba. Kwa hiyo Rais yupo sahihi kabisa kutaka watu wamuombe Mungu, siyo kuzuia Ibada.