Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Minyoo!
 
Kama ungelijua umuhimu wa ibada wala usingelithubutu kuwaza kuzuiliwa mikusanyiko ya Ibada. Ngoja nikupe lecture kidogo tu, Corona virus ni Tauni,au pigo ambalo Mungu ameachilia juu ya dunia kwa ajili ya uovu. na kila pigo hukomeshwa na toba na maombi yanayotokana na kusanyiko linalotubu mbele za Mungu. Corona hamalizwi na wataalamu, la sivyo China na nchi za ulimwengu wa kwanza wangeshaimaliza muda mrefu. hili ni pigo ndio maana yanahitajika maombi ya toba. Kwa hiyo Rais yupo sahihi kabisa kutaka watu wamuombe Mungu, siyo kuzuia Ibada.
 
U-Ugonjwa C-corona D- dhahiri wewe mbweha ulikuwa ujui kirefu cha jina lako sasa corona umeingia kichwani hutaki kujenga Hoja umebakia kuleta vurugu humu uwatoe watu kwenye mada
 
DPP na yeye aombewe aacha kuwabambikia wapinzani kesi
 
Acha vitisho mkuu,kwanza.ndefu.sana,halafu "KUWAFUNGULIA NINI VIONGOZi" huo umoja wa Mataifa?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U-Ugonjwa C-corona D- dhahiri wewe mbweha ulikuwa ujui kirefu cha jina lako sasa corona umeingia kichwani hutaki kujenga Hoja umebakia kuleta vurugu humu uwatoe watu kwenye mada
Sawa Minyoo!
 
Wewe umebambikiziwa lini Minyoo?
Corona ni hatari kuliko chochote hata hizo Bangi unazovuta ni Hatari zaidi acha ufala rejea kwenye hoja CCM mmeamua kuachia corona isambae mpate kisingizio cha kufuta uchaguzi na kuzuia mikutano ya chadema mwezi ujao
 
Nyinyi uchaguzi hamuwezi shinda watz walishawakataa siku nyingi sanasana mtakimbia kwa kisingizio cha kitoto cha Tume Huru.
Knock...Knock....'Any body home??????'
 
Amepotoka sana mkulu, kama ameweza kutoa order shule zifungwe na watoto wetu wasipate elimu, kanisani na misikitini kuna kipi cha ziada?

Gathering yoyote kwa sasa ni kosa kubwa na itakuja kuligharimu taifa.
 
Corona ni hatari kuliko chochote hata hizo Bangi unazovuta ni Hatari zaidi acha ufala rejea kwenye hoja CCM mmeamua kuachia corona isambae mpate kisingizio cha kufuta uchaguzi na kuzuia mikutano ya chadema mwezi ujao
Sawa Minyoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…