Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

C &P

"TBC1 tuliwaonya kukusanyika siku ya msiba wa Marini Hassan hamkusikia! Haya leo Joseph Kambangwa mfanyakazi wenu kafa kwa corona na maziko ni kesho saa 4 huko huko Mloganzila!
**Gloria Maiko(anatangazaga habari za biashara) yuko hoi ana dalili zote za corona!
RIP Kambangwa"

"Huyu mama Gloria Michael mpaka jana alikuwa kazini na leo kawa tested positive na corona! Lakini Hawajiulizi kaambukiza watu wangapi kazini ,nyumbani etc.Guys we have a serious problem than we think. Egbert Mkoko lecturer UDSM +ve na wiki hii alikuwa kazini kaambukiza wangapi?"
 
viongozi wa dini ni wabishi sana, mf gwajima hata ukimpelekea jwtz bado atatoka tu kwenda kanisani, serikali ina kazi kubwa!
Mkuu, kigogo Warioba,

Si unajua tena Imani mkuu, Imani ni kitu kingine achana nacho, na siku zote uzuri na thamani ya kitu anaijua mwenye nacho, pengine mtu mwingine aweza kuita ni Ujinga lakini ni Kwa sababu hawezi kujua thamani ya hicho alichokishikilia huyo, unajinyamazia tu, maana hata ukisema ni Ujinga bado wataufanya Kwa vile thamani yake wanaijua wao

Ukitaka kuijua hiyo thamani, ni lazima uingie Kwa miguu yote miwili
 
Kwani Viongozi wetu .wanasubiri mpaka serikali isitishe hawawezu kujiongeza.tu
Bila Shaka zipo hatua zilizochukuliaa, nilimskia Shekhe mkuu, alizuwia Madrasa na Baadhi ya makanisa ukiingia utakuta hata mpangilio wa viti vyao vinakaa mbali mbali haswa,

Kuna Ibada au Baadhi ya makusanyiko ya Ibada yamefutwa na pengine kubakia ya J.pili pekee, hata hivyo kiukweli kama kunanma nyingine ya hatua, zichukuliwe tu, maana Sisi ndo sisi
 
Mimi binafsi napendelea sana kwenda kusali lakini corona itie timu . Aise watanisamehe sijaenda tena huko.ili kupunguza maambuzi ya ndani(Lock transmission)
 
Shule ya msingi Mbagala Nzasa, leo majira ya saa kumi na moja jioni, tumeshuhudia kandanda safi likisakatwa na watazamaji wakiwepo
 
Acheni upofu wa kiroho.Sawa tukifunga sehemu za ibada atakayeiombea nchi ni nani?Ninyi ndio watu msio muamini Mungu kabisa.Hujui kwamba unachokiri ndicho kinachotokea?
 
Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari ya kusambaa zaidi mkoa wa dar unaweza kuongezeka kama serikali ya Tanzania itashindwa kudhibiti mikusanyiko ya ibada zinazoongozwa na Aki Gwajima, kakobe, mwamposa. mikusanyiko hiyo ni kinyume na ushauri wa kitaalamu.
 
Hatari ya kusambaa zaidi mkoa wa dar unaweza kuongezeka kama serikali ya Tanzania itashindwa kudhibiti mikusanyiko ya ibada zinazoongozwa na Aki Gwajima, kakobe, mwamposa. mikusanyiko hiyo ni kinyume na ushauri wa kitaalamu.
Sokoni hamwendi?
Baa?
Clubs?
 
Tunatishana sana Ndg. zangu
Haka kaugonjwa ni kadogo sana katashindwa kwa Jina la Bwana wetu Yesu Kristo
Mwenye haki wangu ataishi kwa Imani yake akisitasita Roho yangu (Mungu) haina furaha nae.

Hili ni fumbo la kiimani imagine umeambiwa kuwa ni huo ugonjwa ni airborne unategemea nini?

Hapa msaada ni Yesu Kristo tu. Twendeni kwa Yesu tupone hamnaga siasa eti
Mtakubali wenyewe!!!
 
Leo Waziri ametangaza ongezeko la watu Walioambukwizwa corona lakini .jana watu wamejazana makanisani wakiambikizana. shule na vyuo vimefungwa lakini misikiti na makanisa imebaki ikiendeleza kusambaza.
 
Leo Waziri ametangaza ongezeko la watu Walioambukwizwa corona lakini .jana watu wamejazana makanisani wakiambikizana. shule na vyuo vimefungwa lakini misikiti na makanisa imebaki ikiendeleza kusambaza.
mkuu hujasikia kua haka ni kaugonjwa kadogo?
 
Leo Waziri ametangaza ongezeko la watu Walioambukwizwa corona lakini .jana watu wamejazana makanisani wakiambikizana. shule na vyuo vimefungwa lakini misikiti na makanisa imebaki ikiendeleza kusambaza.
Hatuwezi kufunga hadi muambikizane kiasi cha kutosha
 
Kufunga makanisa na misikiti ni kukosa imani. Njia pekee ya kukabiliana na Corona ni kuwa na Imani na kumtumainia Mungu.

Bado tuna nafasi ya kumlilia Mungu kwa kuonesha dhamira ya dhati kukusanyika nyumba za ibada. Hapo Imani yetu itatuponya.
 
Kwanini serikali yetu imeacha kudhibiti mikusanyiko ya kidini kunusuru maisha ya watanzania dhidi ya corona. kwanini Jamani tunaendelea kunyamaza? Kwann nyuo na mashule yamefungwa lakn makanisa na misikiti imebaki?

Kwann viongozi wetu dini wameshindwa kuwa wazalendo? Kweli sadaka ni bora kuliko uhai ya watu?.je ni kweli Mungu yuko makanisani na misikitini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…