FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tuma kwenye namba hii zitahusikaSadaka itakuwaje.?
Masoko,minada na mabaa vipiNaona ule muda wa kupiga marufuku mikusanyiko ya ibada ndio umefika sasa, ibada zote zifanyike kwa njia ya mitandao, pia wanaweza kukodi airtime kwa watu kama Global publishers na Millard Ayo kurusha matangazo yao. Hili lifanyike kwa dharura kidogo.
Itabidi Tigo pesa na pesa zitumike, hakuna namnaSadaka itakuwaje.?
Ibada ni hiari ukitaka nenda hutaki acha sio kazii ya serikali kusimamia ibadaNaona ule muda wa kupiga marufuku mikusanyiko ya ibada ndio umefika sasa, ibada zote zifanyike kwa njia ya mitandao, pia wanaweza kukodi airtime kwa watu kama Global publishers na Millard Ayo kurusha matangazo yao. Hili lifanyike kwa dharura kidogo.
Kama mnahatarisha usalama wa general public basi serikali inahusika, maana mkiambukizana kanisani then mkarudi mitaani , whats next?Ibadsa ni hiari ukitaka nenda hutaki acha sio kazii ya serikali kusimamia ibada
Itabidi Tigo pesa na pesa zitumike, hakuna namna
Sadaka kukatwa kodi itakuwa ndio the new normalMtatuma na ya kutolea.?
Kwa maana itakatwa kodi, na hatujazoea kuona sadaka ikitendwa vile.
Doing something is better than doing nothing at allHabari za asubuhi
Wapendwa Leo nimepokea ujumbe toka kwa mzee wangu wa kanisa akinitaarifu kuwa jumuiya imeahirishwa kwa muda usiofahamika
Je ni wakati muafaka kufanya hivyo?
Sio kwamba tumechelewa?
Je Lockdown inaweza kutusaidia kwa sasa au tumechelewa?
Kweli taasisi za kiislam mmeshindwa kufunga msikiti kipindi hiki cha maradhi. Sheikh mkuu tanzania umeshindwa kuwalinda waumini wako?
Ma sheikh mmepatwa na nini? Hamuoni misiba? Hamuoni wagonjwa?
Huu uwamuzi wenu wa kutokufunga msikiti ni msiba mkubwa. INALILAHI.
WAUMINI WA KIISLAM TUSALI NYUMBANI ILI KUJILINDA NA KUZILINDA FAMILIA ZETU. Tusiwafate masheikh wasio tujali
Sent using Jamii Forums mobile app