FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Naona ule muda wa kupiga marufuku mikusanyiko ya ibada ndio umefika sasa, ibada zote zifanyike kwa njia ya mitandao, pia wanaweza kukodi airtime kwa watu kama Global publishers na Millard Ayo kurusha matangazo yao. Hili lifanyike kwa dharura kidogo.