Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Naona ule muda wa kupiga marufuku mikusanyiko ya ibada ndio umefika sasa, ibada zote zifanyike kwa njia ya mitandao, pia wanaweza kukodi airtime kwa watu kama Global publishers na Millard Ayo kurusha matangazo yao. Hili lifanyike kwa dharura kidogo.
 
Ibada ni hiari ukitaka nenda hutaki acha sio kazii ya serikali kusimamia ibada
 
Ibadsa ni hiari ukitaka nenda hutaki acha sio kazii ya serikali kusimamia ibada
Kama mnahatarisha usalama wa general public basi serikali inahusika, maana mkiambukizana kanisani then mkarudi mitaani , whats next?
 
Ni mda watu waepuke msongamano Mana makanisani watu wamebanana full kupumuliana na kutema mate wakati wa kuimba, na WHO inasema ugonjwa waweza enea kwa njia ya hewa, Sasa Watanzania wengi vichwa ngumu matokeo nihuo ugonjwa kuenea, Mimi binafsi nimeacha kutoka kabisa zaidi ya kusubiria evening walk Tena mita nyingi plus barakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi

Wapendwa Leo nimepokea ujumbe toka kwa mzee wangu wa kanisa akinitaarifu kuwa jumuiya imeahirishwa kwa muda usiofahamika

Je ni wakati muafaka kufanya hivyo?
Sio kwamba tumechelewa?
Je Lockdown inaweza kutusaidia kwa sasa au tumechelewa?
Doing something is better than doing nothing at all
 
Kweli taasisi za kiislam mmeshindwa kufunga msikiti kipindi hiki cha maradhi. Sheikh mkuu tanzania umeshindwa kuwalinda waumini wako?

Ma sheikh mmepatwa na nini? Hamuoni misiba? Hamuoni wagonjwa?
Huu uwamuzi wenu wa kutokufunga msikiti ni msiba mkubwa. INALILAHI.

WAUMINI WA KIISLAM TUSALI NYUMBANI ILI KUJILINDA NA KUZILINDA FAMILIA ZETU. Tusiwafate masheikh wasio tujali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nmejikuta tu nacheka

stidy
 
imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyojulikana: kama unaamini hivyo ni kwako, usiwaaminishe na wengine. Makanisani husikii kabisaaa...! waumini na vyombo vyao??
Kweli taasisi za kiislam mmeshindwa kufunga msikiti kipindi hiki cha maradhi. Sheikh mkuu tanzania umeshindwa kuwalinda waumini wako?
Ma sheikh mmepatwa na nini? Hamuoni misiba? Hamuoni wagonjwa?
Huu uwamuzi wenu wa kutokufunga msikiti ni msiba mkubwa. INALILAHI.

WAUMINI WA KIISLAM TUSALI NYUMBANI ILI KUJILINDA NA KUZILINDA FAMILIA ZETU. Tusiwafate masheikh wasio tujali

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kwetu Misikiti baadhi imefungwa na mda wa swala wana piga Adhana

I'm on that good kush and alcohol
 
Back
Top Bottom