😜😜 tulia mkuu mbona unaanza jambajamaba mapema hivi
Angekuwa akili kubwa asingenyolewa!
Tunata kuahirisha uchaguzi!!!
Tunahofia kuleta sintofahamu kwa wananchi
Jr[emoji769]
Acha utoto mkuu Taifa linakabiliwa na Corona badala ya kuwataka watanzania kufuata masharti unaleta siasa za kitoto,wanaofanya mikutano ni Chama chako hao wengine mmewazuiaKatibu wa uenezi wa CCM katoa taarifa hiyo kwa wana-CCM ili kukabiliana na Corona.
My take;
Wale wanachama wa chama cha Corona (CHADEMA) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.