Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

Kwa hali ilivyotokea Arusha na ukezingatia vipimo vinafanyika Dar es salaam pekee. Ni wakati sasa mamlaka kuchukua hatua ili kuwalinda watoto wetu, uhai kwanza.

Naomba kutoa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo utajua hili linchi hakuna kitu kabisa. Muda wote huo mna maabala moja tu kupima hii kitu? Kazi kukimbizana kina lema kutwa nzima. Shame on u CCM na serikali yenu.
 
Salary Slip,
Chadema bhana. Juzi tu mlikuwa mnahiji kwa nini serikali haichukui hatua kukabilana na corona. Serikali imetoa taarifa na CCM wameanza kukabiliana kwa kuzuia mikutano yao nyie mnaanza kuleta siasa. Chama chenu kimekuwa cha kitapeli sana
 
Tunahofia kuleta sintofahamu kwa wananchi

Jr[emoji769]
 
Tunata kuahirisha uchaguzi!!!

Tunayo nafasi ya kutoahirisha uchaguzi kama hatua thabiti tutachukua sasa.

Ila kama tutaruhusu hili rojo lichanganye vilivyo, haitakuwa kuahirisha tu bali wapiga kura na wapigiwa kura tutakuwa tumeshapumzika kwa amani kabla ya huo uchaguzi wenyewe. Huo ndiyo ukweli mchungu.
 
Tunahofia kuleta sintofahamu kwa wananchi

Jr[emoji769]

Mkuu haitusaidii. Pana sintofahamu zaidi kuwa hatua zinazochukuliwa hazitoshi kuliko kuwa kwa hatua hizi kuna japo some light at the end of the tunnel.
 
BUBERWA D.,
aisee ila nyie CCM wenzangu mnaiogopa Chadema kupitiliza...
kwa nini lakini mnakidhalilisha chama cha mwalimu JKN (rip) hivi lakini nyie watu??
 
Katibu wa uenezi wa CCM katoa taarifa hiyo kwa wana-CCM ili kukabiliana na Corona.

My take;
Wale wanachama wa chama cha Corona (CHADEMA) endeleeni kushawishi wanachama wenu ili wakapoteze maisha.
Acha utoto mkuu Taifa linakabiliwa na Corona badala ya kuwataka watanzania kufuata masharti unaleta siasa za kitoto,wanaofanya mikutano ni Chama chako hao wengine mmewazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom