Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Ihusishe na akili hata kidogo kabla ya kutiririka! Maisha lazima yaendelee! Kuna vifaa vya kujikinga na pia check-up za afya zinafanyika! Na hata wakiuhua watatibiwa! Ujenzi wa taifa lazima uendelee maana tumechelewa sana!Nisizunguke sana.
Stieglers gorge ina wafanyakazi wasiopungua 3,000 mpaka sasa na kuna mchanganyiko wa wageni wengi toka china na Misri.
Na huwa wanachukua likizo baada ya miezi mitatu wanaenda makwao na kurudi kwa sababu viza zao ni za miezi mitatu mitatu. Nina mashaka wanaweza kuwa wamerudi na virusi.
Tukumbuke wafanyakazi wa huu mradi wapo wanaolala site na wengine wanaingia na kutoka kila siku.
Kwa SGR vivyo hivyo inaje gwa na wageni na muingiliano na mkusanyiko wa raia ni mkubwa pia.
Solution ni kuzuia wasiingie wala kutoka siteNisizunguke sana.
Stieglers gorge ina wafanyakazi wasiopungua 3,000 mpaka sasa na kuna mchanganyiko wa wageni wengi toka china na Misri.
Na huwa wanachukua likizo baada ya miezi mitatu wanaenda makwao na kurudi kwa sababu viza zao ni za miezi mitatu mitatu. Nina mashaka wanaweza kuwa wamerudi na virusi.
Tukumbuke wafanyakazi wa huu mradi wapo wanaolala site na wengine wanaingia na kutoka kila siku.
Kwa SGR vivyo hivyo inaje gwa na wageni na muingiliano na mkusanyiko wa raia ni mkubwa pia.
Unawaza bila kutafakari, kama manesi na madakitari wetu wakiwa waoga kama wewe, tutajikuta hospitali zote zimefungwaNisizunguke sana.
Stieglers gorge ina wafanyakazi wasiopungua 3,000 mpaka sasa na kuna mchanganyiko wa wageni wengi toka china na Misri.
Na huwa wanachukua likizo baada ya miezi mitatu wanaenda makwao na kurudi kwa sababu viza zao ni za miezi mitatu mitatu. Nina mashaka wanaweza kuwa wamerudi na virusi.
Tukumbuke wafanyakazi wa huu mradi wapo wanaolala site na wengine wanaingia na kutoka kila siku.
Kwa SGR vivyo hivyo inaje gwa na wageni na muingiliano na mkusanyiko wa raia ni mkubwa pia.
Hatutishani. Tunakumbushana kuchukua tahadhari. Na katika hili, kwa mujibu wa Shirika la afya Duniani(WHO) na Kituo Cha kudhibiti magonjwa(CDC) Cha nchini Marekani. Virus vya Corona vinaweza kudumu kwenye hard surfaces kitaalamu tunaita Fomites karibu masaa 72. Na ikumbukwe modes of transmission of Corona virus can be Human-human or surface(Fomites) -humani. Tusikomalie njia moja tuu tukasahau kuzua routes zingine.Acha kutisha watu,
mtanzania bwana ni mtu mmoja wa propaganda sana, kipindi kile aliwaponda sana ndugu zetu waliopo China muda wote ni utani utani tu, lakini kama ndugu zetu waliopo China Bado wana survive basi huu ndio muda wakuwauliza wao wana survive vipi huko walipo.
Wachina wao kazi zilikua haziendelei? Kwa taarifa yako wachina wengine walikua wanaendelea ujenzi wa hospitali mpya, wengine walikua wakiendelea kuzalisha maski, wengine walikua wanaendelea kuuza mask, wengine walikua wanaendelea kuuza maduka na supermarket, manesi na madokta ndio usiseme walikua busy, na kutibu watu. Ila walikuwa wakivaa mavazi maalum ya kuwafunika sehemu zao za mwili, pua na mdomo ili kuzuia ueneaji.Hatutishani. Tunakumbushana kuchukua tahadhari. Na katika hili, kwa mujibu wa Shirika la afya Duniani(WHO) na Kituo Cha kudhibiti magonjwa(CDC) Cha nchini Marekani. Virus vya Corona vinaweza kudumu kwenye hard surfaces kitaalamu tunaita Fomites karibu masaa 72. Na ikumbukwe modes of transmission of Corona virus can be Human-human or surface(Fomites) -humani. Tusikomalie njia moja tuu tukasahau kuzua routes zingine.
Otherwise, Tuwe watulivu, tuzingatie taratibu za afya. Ukihisi huielewi Hali yako, wahi hospital Mara moja.
Siyo lazima serikali iweke sheria kila kitu. Serikali imeweka sheria kwenye vile iliyo na mamlaka navyo. Vitu kama ibada serikali imetoa tu suhauri kuwa mikusanyiko ya watu wengi ipunguzwe. Jukumu ni la waumini wakishirikiana na viongozi wao wa dini kuona ni nini cha kufanya.Baada ya Corona kuingizwa Arusha na mrembo na tajiri mwenye shule za binafsi, sasa muda wowote itaingia Dar kupitia wasanii wa Bongo Fleva wanaotoka kupiga Show ulaya.
Ili kuzuia hatua zifuatazo zichukuliwe leo hii:
1. Harusi zote zisitishwe
2. Misiba wahudhurie ndugu tu, wasizidi 20.
3. DART-mwendokasi upigwe marufuku
4. Machinga wote waliozagaa mjini kwa tamko la JIWE waondoshwe na kurudishwa makwao.
5. Mabasi yaendayo nje ya nchi yasitshe safari.
6. JKT WARUDISHWE NYUMBANI.
7. MAHABUSU WOTE NA WALE WALIOPO VITUONI WAPEWE DHAMANA
8. KWARESMA NA NJIA YA MSALABA IPIGWE MARUFUKU
9. BEACH ZOTE ZA UMMA zipigwe marufuku.
10. Betting offices zifungwe
11. Wale makahaba wote wa Sinza, Buguruni walipwe fedha/ruzuku, ili wakae nyumbani.
12. Kupanda daldala iwe LEVEL SEAT, NA KUINGIA KWA FOLENI/MSTARI na kila mtu alipe kwa tigo pesa.
13.Traffic akikukamata hakuna kumpa leseni, wataeneza ugonjwa.
14. Gest houses zote zifungwe na zibaki hoteli tu.
15. CCM LUMUMBA vile vijiwe vya kahawa vifungwe vyote
Vitu vingine ni vya kufikirika japokua vingine sijui ulikua serious ama?
Kuna watu wanafikiri kinyumenyume sana.Jeshi likikusanyika huo nao ni mkusanyiko unafaa usambaratike.
Kwa matazamo huo ina maanisha dada alikubali kuangamiza jamii yake kwa kushirikiana na hayo mataifa au taasisi unazo zituhumu? Dunia nzima ina uelewa wa kwamba ukijichanganya na mtu aliye athirika upo uwezekano mkubwa na wewe kuathirika. Kwa nini dada asitoe taarifa hizo mapema ili afikishwe moja kwa moja kufanyiwa vipimo? Ulicho kiita uzalendo sio sahihi, ukiangalia video ya maelezo ya mkuu wa mkoa mh Gambo utaona msafara mkubwa uliokwenda kumchukua huyo dada na kumpeleka hospitalini, hii inamaanisha hakujisalimisha hospitalini moja kwa moja kwa ajili ya uchunguzi. Na hoteli ikafungwa muda huo huo. Na kwa taarifa nyingine Gambo amesema walimtafuta dereva taxi alie mpeleka hotelini walipo mpata ikabainika kwamba alipo muacha huyo dada hotelini alichukua abiria wengine na kuwapeleka karatu, huo ndio uzalendo? Ukilifuatilia hili sakata zima utagundua dada alijijua kwamba ni muathirika, ila njia alizotumia hazikuwa sahihi. Jiulize kwa nini hakwenda nyumbani, aliamua kwenda hotelini? Hii nikuilinda familia yake lakini akaziingiza familia nyingine katika mshtuko ama matatizo. Huo sio uzalendo.Kama umemsikia vizuri: huyo dada akiwa anajua ana virusi vya corona alitembelea Uingereza, Uswizi na Ubelgiji huko ulaya. Kote huko ulaya alikopita hawakuweza kumgundua. Kuna uwezekano akiwa huko Ubelgiji alimtembelea kamanda wetu wa huko na kumpa mkono na kumu hug. Mungu apishe mbali kama tetesi hizi ni za kweli.
Alipofika kwao Tanzania kwa usafiri wa Rwanda Air na sisi hatukuweza kumgundua kwa scanner za pima joto kwani hakuwa na homa. Tetesi zinasema alikuwa akutane na kiongozi mmoja ampe salamu na ujumbe maalum kutoka kwa kamanda wa Ubelgiji. Lakini uzalendo ulimuijia na kuamuru kwenda kujisalimisha hospitali ya Mt Meru. Madaktari wetu hawakuamini kama kweli dada huyo ni muathirika wa gonjwa hilo la corona maana alionekana mzima wa afya tele. Dada akawaomba wamufanyie vipimo kama hawaamini. Vipimo vikachukuliwa na kupelekwa DSM. Majibu yakawa positive na hapo ndipo tukazinduka.
Hivi virusi wakati mwingine vinasambazwa kwa makusudi na watu au tasisi au mataifa kwenda kuangamiza wabaya wao wa mbali nk. Wanatumiwa vijana kama dada huyu kama walivyokuwa wanatumika kusambaza madawa ya kulevya. Corona ni silaha ya kibaiologia (biological weapon) ambayo ni ya kimaangamizi ile mbaya. Jiulize ilikuwaje silaha hizi baada China zilienda kuishambulia sana Iran na Italy? Vita hizi za kibiolojia ni ngumu sana kuzipigana.